Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

Sasa kinachomfunga si ushahidi uliopo au unafikiri waliibuka tu wakamdaka?, dogo aliacha fingerprints kule baba haya Mambo ya tech ukicheza fyongo tu umedakwa maana unaweza ukawa unacheza na watu wenye uzito kukuzidi yaan ulichofanya na unachofanya ndio michezo yao

Dogo ametumia mbinu ya kawaida sana ambayo hata wewe unaweza ukaitumia ni kuweza kunakiri na kukariri password tu na kutambua kiasi gani kipo kwenye akaunti ya mtu fulani kwisha habari

Unafungua line mpya ya mtu husika hii wanachezeshaga wale wanaoandikisha line baada ya hapo unalinganisha password alioitumia kufungulia Mobile money wengi hutumia password moja hawawezi wakatumia password zaidi ya moja kwa akaunti tofauti baada ya hapo play store unapakua app ya bank husika ukimaliza unaingiza password unacheck salio unatoa Pesa

Boom!
Anaweza kutiwa hatiani ama mahakama ikamuachia huru. He's still a suspect not a convict.
 
Anaweza kutiwa hatiani ama mahakama ikamuachia huru. He's still a suspect not a convict.
Kinachomfunga mtu yoyote aliefanya uhalifu iwe kimtandao isiwe kimtandao ni ushahidi na uthibitisho usioacha shaka yoyote yaan BRD lazima izingatiwe according to Cyber Laws & Criminal Laws sasa Penal Code itamaliza mchezo wote
 
Kumbuka pia kuna legal technicalities zinaweza kuamua hatma ya mtuhumiwa.
 
Kumbuka pia kuna legal technicalities zinaweza kuamua hatma ya mtuhumiwa.
Yes of course hio ipo ila mpaka umeshikwa na kuwekwa kizuizini maana yake wewe ni mshukiwa

Na ukishasomewa shitaka lako unabadirika kutoka kua mshukiwa kwenda kua mtuhumiwa au tuseme mshitakiwa yaan pale mbele ya Hakimu au Jaji aidha unakubari shitaka au unakataa shitaka,

Sasa baada ya hapo kuamua vinginevyo juu ya shitaka lililopo mezani hio inakua chini ya maamuzi ya Mahakama mpaka unatiwa hatiani au unaonekana huna hatia
 
Mjomba unashangaa Hilo!! Polisi hawahawawaweza kusema wewe unataka kupindua nchi wakati hata gobore huna!!
 
Kumbuka pia kuna legal technicalities zinaweza kuamua hatma ya mtuhumiwa.
Mkuu ulisha wai tendewa uhalifu wa aina yoyote ule kwenye Maisha yako!!?? Kama bado shukhukuru sana Mungu na umuwombe sana Mungu yasije yakakuta,wwe endelea kuyasikia kwa wenzako tu yakiwatokea!!
 
Back
Top Bottom