Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
How is it even possible for law enforcement agency to break the law?Sawa bhana
Kwakweli mwenyewe nazipata hizo meseji kila siku....chukua tu tahadhari mengine waachie wenyewe 😃😃😃How is it even possible for law enforcement agency to break the law?
Kawashtaki ndugu tapeli. Wasiingilie anga zako!!!How is it even possible for law enforcement agency to break the law?
......any defendant in a criminal trial is assumed to be innocent until they have been proven guilty by the court.Mtu anaekupa maelekezo yanayotakiwa kutokewa na namba maalum ya mtandao husika kwa kutumia namba yake binafsi ni kitendo cha ‘Utapeli’. Mahakamani unaenda kudhibitishwa na kuadhibiwa tu.
Ninachokosoa ni professionalism katika Public Communication kwa maana hata wageni wa kimataifa wanakutana na hizi alerting SMSKawashtaki ndugu tapeli. Wasiingilie anga zako!!!
Tafuta kazi za kufanya hata uokote makopo ili angalau akili yako iwe bizze Mkuu. Hii itakupunguzia kudeal na vitu vidooooogo ambavyo havina ingizo/maokoto kwenye maisha yako.Good Morning jamiiforums.
Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.
POLISI.
Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
View attachment 2729173
Huyo atakuwa mojawapo bila shakaMtu anaekupa maelekezo yanayotakiwa kutokewa na namba maalum ya mtandao husika kwa kutumia namba yake binafsi ni kitendo cha ‘Utapeli’. Mahakamani unaenda kudhibitishwa na kuadhibiwa tu.
Unamfanyia dhihaka mtu ambaye hata haumjuiTafuta kazi za kufanya hata uokote makopo ili angalau akili yako iwe bizze Mkuu. Hii itakupunguzia kudeal na vitu vidooooogo ambavyo havina ingizo/maokoto kwenye maisha yako.
Nyie ndio wale unaanza kuuliza kwanini wimbo wa Taifa una beti 8 badala ya moja tu. Au kwanini Bwana na Bibi kwenye nembo ya Taifa blaaa blaaa🤣🤣🤣
Tuma hiyo pesa kwenye namba hiiGood Morning jamiiforums.
Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.
POLISI.
Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
View attachment 2729173
Good Morning jamiiforums.
Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.
POLISI.
Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
View attachment 2729173
Hahahaaaaa sawa mzee babaHuyo atakuwa mojawapo bila shaka
Kwani utapeli nn??? Hii nchi ni wapumbafu wengi sansGood Morning jamiiforums.
Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.
POLISI.
Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
View attachment 2729173
DuuuhKwani utapeli nn??? Hii nchi ni wapumbafu wengi sans
Kwa hiyo unamaanishaa hta jambazii akikamatwa anavamiaa,asiitwe jambazii hadii mahakamaa imtiee hatianii au??Good Morning jamiiforums.
Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.
POLISI.
Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
View attachment 2729173
Mtu "anayesadikiwa" kuwa ni jambaziKwa hiyo unamaanishaa hta jambazii akikamatwa anavamiaa,asiitwe jambazii hadii mahakamaa imtiee hatianii au??