Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

Anaweza kutiwa hatiani ama mahakama ikamuachia huru. He's still a suspect not a convict.
 
Anaweza kutiwa hatiani ama mahakama ikamuachia huru. He's still a suspect not a convict.
Kinachomfunga mtu yoyote aliefanya uhalifu iwe kimtandao isiwe kimtandao ni ushahidi na uthibitisho usioacha shaka yoyote yaan BRD lazima izingatiwe according to Cyber Laws & Criminal Laws sasa Penal Code itamaliza mchezo wote
 
Kumbuka pia kuna legal technicalities zinaweza kuamua hatma ya mtuhumiwa.
 
Kumbuka pia kuna legal technicalities zinaweza kuamua hatma ya mtuhumiwa.
Yes of course hio ipo ila mpaka umeshikwa na kuwekwa kizuizini maana yake wewe ni mshukiwa

Na ukishasomewa shitaka lako unabadirika kutoka kua mshukiwa kwenda kua mtuhumiwa au tuseme mshitakiwa yaan pale mbele ya Hakimu au Jaji aidha unakubari shitaka au unakataa shitaka,

Sasa baada ya hapo kuamua vinginevyo juu ya shitaka lililopo mezani hio inakua chini ya maamuzi ya Mahakama mpaka unatiwa hatiani au unaonekana huna hatia
 
Mjomba unashangaa Hilo!! Polisi hawahawawaweza kusema wewe unataka kupindua nchi wakati hata gobore huna!!
 
Kumbuka pia kuna legal technicalities zinaweza kuamua hatma ya mtuhumiwa.
Mkuu ulisha wai tendewa uhalifu wa aina yoyote ule kwenye Maisha yako!!?? Kama bado shukhukuru sana Mungu na umuwombe sana Mungu yasije yakakuta,wwe endelea kuyasikia kwa wenzako tu yakiwatokea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…