Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

Hii ni Taarifa ya ibirisi wa ccm wamewapa Polisiccm savory kisha waje kuhadaa watu baada ya kuona kuwa hawana pa kupita kila kona Damu ya utekaji inawandama
 
Wote waliotajwa hapa sio wale wanaopigiwa kelele kwamba ama wametekwa na kupotezwa, kuteswa au kuuwawa.

Taarifa hii ni ya kisiasa hakuna hata mmoja miongoni mwa 83 waliotajwa Gwajimanizer

Waambieni waleta ripoti kamili, nani alimteka Ally Kibao na kumuua, nani alimvamia Mdude nyumbani akamteka na kumpoteza hadi leo, nani aliwateka akina Soka, Mbise, Kipanya, kada wa ccm Mwanza nk?
 
Ile Siku moja naikumbuka zilikamatwa nyara za serikalini zikachukuliwa kwenye ndoo na kufungiwa ofisini kwa MKUU na watu BAADHI tuki shuhudia kwa karibu.

Baadae kwa kua ilikua usiku Wote tukawa tumeenda makwetu kulala Ile kesho asubuh wote kwa pamoja ikaletwa Ile ndoo mbele ikafunguliwa LAHAULA!!?

ILE NDOO IKAKUTWA INA KOTI NA MAJI NA SABUNI YA UNGA LIME LOWEKWA 😁😅🤣 WATU WAKAULIZANA APOSTLE NINI KIMETOKEA WOTEEEE TUKASEMA NI MUUJIZAAAA

SO KUNA WAKATI HIVI VYOMBO DOLA HUAMUA KUUKWEPESHA UKWELI KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFAA NAJUA KWENYE REPORT KUNA PROPAGANDA NA KUNA UONGO JAPO KUNA YENYE UKWELI.

naomba kuwasilisha.
 
Polisiccm na ibirisi wa ccm lao ni moja hiyo ni Taarifa ya Amos makala tu
 
Hakuna kitu no reforms no election ⚒️ 💯
 

Attachments

  • 20250616_211649.jpg
    71.4 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…