JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mtoto akinyea mkono unaukata kwasababu ya uvivu wa kwenda kuteka maji uusafishe“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”
Jee, ni halali kila mji kujiwekea sheria zake? Miaka ya 80 sheria ilipitishwa kukataza usafiri wa usiku kwa nchi nzima. Hilo sawa kwa kuwa lilihusu nchi nzima. Hili la kuweka sheria zinazohusu mji mmoja mmoja lina utata. Kwa mfano gari la abiria linatoka Mbeya kwenda Tanga likaharibika kilomita 100 kutoka Tanga; wakalishughulikia likatengamaa saa sita kasoro za usiku. Ni halali hilo gari kuendelea na safari kutoka hapo lilipoharibikia mpaka ukingoni mwa Tanga halafu hapo lisiendelee kwa kuwa saa sita usiku itakuwa imegonga tayari?Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.
“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”
Chanzo: Millard Ayo
Kwa hiyo anatupangia huyu demu? Hajui huo ni muda wa kuchimba madini?Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.
“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”
Chanzo: Millard Ayo
Huyo mkuu wa mkoa ni wa kupuuza kabisa,kwani mkoa wa Tanga wana LATRA yao?Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.
“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”
Chanzo: Millard Ayo
Na haaya magari ya Moshi to Dar yanayotoka Moshi saa nne itakuwaje yakifika M
kata saa nane itakuwaje