Na bikra Maria atakuwepo?Haijalishi, magaidi lazima yawahishwe ahera kupata mabikra 72 huko mashariki ya kat Na Bukq
Wewe mlolole wa wapi?Hayo sio maandamano. Hawaendi popote. Wameweka kambi kwenye eneo la chuo na kuanza kuteka na kudhibiti majengo ya chuo. Kwa kifupi wana lengo la kuzuia chuo kisifanye kazi hadi madai yao yatimizwe.
Sasa mpe ushauri “baba wa demokrasia” anatakiwa afanye nini kitu muafaka ili aendelee kuwa baba wa demokrasia.
Kike 200 haramu walivyoteka wanafunzi wa uliona serikali ya Nigeria ilikwenda kupiga na kuuwa watu ovyo? Putin alizuia chakula kisiingie? Acha kutumia mavi kufikiliHiyo democrasia ambayo haina utaratibu iishie huko huko American na Ulaya ambako wananchi ndio wanaongoza viongozi badala ya viongozi kuongoza wananchi, siku October 7 wayahudi wasiokuwa na hatia wanapigwa risasi hao hao waliandamana kuwapongeza hamas kwa kufanya shambulio lile, hiyo ni double standard, maandamano ilitakiwa yafanyike ya kushinikiza jamaa Aachie mateka na Israel asitishe vita, pia maandamano ya uvamizi wa Urus dhidi ya Ukraine mbona hatuyaoni, boko haramu kuteka wanafunzi wa kike 200 mbona hatuoni maandamano?
Tangu ugundue yule Mudi kakuruhusu uwe unageuzwa kama Sunna basi unajiachia tu.Hivi uharo unaonadika hapo kweli kuna mtu atajadiliana na punguani kama wewe😀.
Akili za kishoga tu kila saa unawaza matako tu.
View: https://x.com/prem_thakker/status/1785480680496885765?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wangeua tuWanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono.
Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.
View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hahaha Muisrael mweusi huyu.Yangu ugundue yule Mudi kakuruhusu uwe unageuzwa kama Sunna basi unajiachia tu
Chuo Kikuu cha Colombia… haya ni maajabu kabisa, haya ni mapinduziWangeua tu
Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.USA has a Soft Underbelly - The Nation not so United....
Alijaribu Obama kuwaunganisha na A Perfect Union - Sadly it remained in theories....
View: https://www.youtube.com/watch?v=zrp-v2tHaDo
Sawa imam endelea kujibizana na fyatu mwenzako Netanyahu. Nahesabu point tu nione atakayeshinda hii vita ya majuha.
Ajabu kabisa wewe Muisrael mweusi unapinga maandamano, angalia Waisrael wenyewe hapa.Haya maandamano hayako kwenye misingi ya kidemokrasia, yapo na misingi ya kidini. Waislam na mayahudi kuhusu vita ya Gaza.
Sawa imam endelea kujibizana na fyatu mwenzako Netanyahu. Nahesabu point tu nione atakayeshinda hii vita ya majuha.
Kwa mimi ambaye siangalii mambo kwa lens ya wao na wale au huku na kule..., nilishasema na ninasema kila siku USA kutokana na division iliyopo ina a soft underbelly ni rahisi kupata an enemy within katika nchi yenyewe tofauti na sehemu kama Russia na China hata mambo yakiwa mabaya / mabovu kiasi gani watu wote ni rahisi ku-PERSEVERE....Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.
Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .
View: https://x.com/afshinrattansi/status/1785436578145534064?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Gaza imebaki magofu we endelea kulia liaWanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono.
Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.
Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.
Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .
View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sio kweli wewe ni mwongo , wewe ndo mdini wazungu na dini wapi na wapiHaya maandamano hayako kwenye misingi ya kidemokrasia, yapo na misingi ya kidini. Waislam na mayahudi kuhusu vita ya Gaza.
Unajitoa ufahamu Marekani Baba wa Demokrasia kama anavyojiitq hataki raia wake wafanye maandamo.
View: https://x.com/kahlissee/status/1785422760992248142?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Good jobWanaukumbi.