Mboju
Member
- May 4, 2021
- 78
- 178
Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na huyo jamaa aliyepigwa na kufariki alikuwemo kibaya zaidia au kizuri zaidi ni kuwa alifia njiani akiwa anapelekwa hospitali.
Nimejaribu kufatilia ili nipewe vitu vyangu kwa maana hakuna kesi iliyopelekwa mahakamani kwamba vitu vitatumika kama ushahidi hapana pia mimi mwenyewe niliwambia polisi kuwa sitaki kuendeleza kesi kwasababu nimeshavipata vitu vyangu lakini cha ajabu mpaka sasa sijapewa vitu vyangu na kila nikienda kuulizia naambiwa nisubiri
Je nikweli sheria ndo iko hivo au nazungushwa tu maana kuna watu wengine washaanza kysema kuwa vitu vikipelekwa polisi ni ngumu kuvipata kwanni na ni mali yangu