Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

Sasa ndugu hutaki kuendelea na kesi lakini mshukiwa amekufa!!!kwamba basi tu sababu hutaki kuendelea na kesi upewe vitu vyako mambo yaishie hapo!!!

Utazungushwa zaidi,sio kwamba wanataka kukupiga,ni kwamba mazingira ya kesi yako ni tata.
Ndio sijakataa lakini kama hakuna mshukiwa aliyekamatwa au kesi kupelekwa mahakamani ili vile vitu viwe kama ushahidi nini maana ya kuendelea kushikilia vitu vyangu basi wapeleke kesi mahakamani
 
Na je kama ni tata ina maana ndo vitu vyangu sitovipata na je kuvipata kwann wasiniambie kuwa fanya hili fanya lile
 
Ndio sijakataa lakini kama hakuna mshukiwa aliyekamatwa au kesi kupelekwa mahakamani ili vile vitu viwe kama ushahidi nini maana ya kuendelea kushikilia vitu vyangu basi wapeleke kesi mahakamani
HIvi vitu sio vyako kisheria,ni vitu alivyokutwa navyo kibaka ambaye ni marehemu.
Ili viwe vyako tena kuna jambo zaidi linatakiwa kufanyika.

Nenda kwa mkuu wa kituo umsikie anakwambia nini.
 
Ndio huyo huyo kila siku anasema nisubiri
 
Huko Kwa mapolisi Kuna viongozi wao umeshawaona? au ni hulka ya majungu kukimbilia huku.
 
TV ipo nyumbani kwa mtu na ukirudishiwa utapewa mbovu kama hiyo hao jamaa sio watu unazungushwa ili wachukue mali yako...
 
Huwa Sina Imani kabisa mali ikibaki mikononi mwa polisi
Ukute mpelelezi wa kesi kwake anatumia Hitachi chogo 1990s model 21" leo umtake akurudishie flat TV 43" huku kafa mtu.

Usipokaa kimkakati anaweza akakupa kesi ya kichwa kwamba wewe ulimuua mtu asiyekuwa mwizi kwa kisingizio alikuibia,hao jamaa ni dhulumati sana hao.
 
Back
Top Bottom