Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

Polisi hata ikitoke umeingia selo, ukasagula mkanda wa karume pale kaunta, viatu na soksi wanapita navyo..,
Sitaki kuzungumzia simu, polisi ya bongo ukiitwa vaa msuli na lapa badili..
 
Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na huyo jamaa aliyepigwa na kufariki alikuwemo kibaya zaidia au kizuri zaidi ni kuwa alifia njiani akiwa anapelekwa hospitali.

Nimejaribu kufatilia ili nipewe vitu vyangu kwa maana hakuna kesi iliyopelekwa mahakamani kwamba vitu vitatumika kama ushahidi hapana pia mimi mwenyewe niliwambia polisi kuwa sitaki kuendeleza kesi kwasababu nimeshavipata vitu vyangu lakini cha ajabu mpaka sasa sijapewa vitu vyangu na kila nikienda kuulizia naambiwa nisubiri

Je nikweli sheria ndo iko hivo au nazungushwa tu maana kuna watu wengine washaanza kysema kuwa vitu vikipelekwa polisi ni ngumu kuvipata kwanni na ni mali yangu
Naona umeleta hii stori hapa kupiga soga nenda kwa watu wa sheria watakusaidia!
 
Risiti ya EFD unayo?
 
Nyinyi mmempiga na kumuua huyo anayeshukiwa wizi, ukiwasumbua sana polisi kudai hako ka TV wanakuangushia kesi ya mauaji
 
Sasa ndugu hutaki kuendelea na kesi lakini mshukiwa amekufa!!!kwamba basi tu sababu hutaki kuendelea na kesi upewe vitu vyako mambo yaishie hivyo!!!hapana.

Utazungushwa zaidi,sio kwamba wanataka kukupiga,ni kwamba mazingira ya kesi yako ni tata.

unawezapewa tv na sabufa,kesho vikahitajika kama kielelezo kwenye kesi ya mauaji hayo.
Hapana,police wamepiga.

Mimi wamepita na vitu vyangu,nimefatilia hadi huko juu kabisa,ila wanalindana.

Haina mbaya,tutakutana tu.
 
Nyinyi mmepimpiga na kumuua huyo anayeshukiwa wizi, ukiwasumbua sana polisi kudai hako ka TV wanakuangushia kesi ya mauaji
Bahati mbaya au nzuri alikamatiwa kijiji cha pili na sikuwepo huko pia mwenyekiti wa kijiji alikuwa eneo la tukio
 
Back
Top Bottom