Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

Nishapoteza kka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mkuu

Mimi nilihangaika sana,nikaja kuachana navyo tu.

Mtu anakutisha kabisa,sema ishu yenyewe ndomaanaa nikapotezea,ila nisingeiacha kamwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mkuu

Mimi nilihangaika sana,nikaja kuachana navyo tu.

Mtu anakutisha kabisa,sema ishu yenyewe ndomaanaa nikapotezea,ila nisingeiacha kamwe
aiseee
 
Bahati mbaya au nzuri alikamatiwa kijiji cha pili na sikuwepo huko pia mwenyekiti wa kijiji alikuwa eneo la tukio
Una utani kabsa mkuu kwa huo mfano hadi kuja kuthibitisha kwamba hukua apo waki kumbambikia case utakaa ndani sio chini ya 3 years kwenye case za mauaji, hii ni njee ya lengo..

Ndani ya lengo mkono mtupu aulambwi ndo nchi yetu hii, la sivyo nenda ngazi inayo fata kwa wakuu zaidi japo binafsi siamini police wote ni sawa tu wata lindana , iki shindikana itabidi utafute wakili
 
Inabidi nicheke maana polisi wakishikilia kitu chako afu wkakuona mlugaluga ni ngumu sana kurudishiwa kitu chako kikiwa mikononi mwao.
Hawa watu huwa wanaendekeza tamaa sana wakati mwingine mpaka unawashangaa.

Kama wakijua huna connection watakudhrumu tu
 
Back
Top Bottom