Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

Ila ccm wabaya sana sasa mwanachama mwenzao kafariki hata kumsitiri kwa mazishi hawataki..!!
 
Kufanyia kazi ni pamoja na kutoa Risasi zote, kuzichunguza kama zimetoka kwa Police wetu au Kwa Gaidi mwenzake.
Yawezekana Askari wetu walitaka kumkamata tuu, Gaidi mwenzake akammalizia. Lazima achunguzwe pia kama ni Mla opium.
Hiyo ndiyo forensic investigation. Pia kuverify fingerprints na kwenye database etc....
 
Ule mwili uko riddled with bullets.

Alipigwa si chini ya risasi 30 akiwa chini ukiachia zile alipokua amesimama.

Poleni ndugu na jamaa ila Hamza alikua Gaidi.
Alikuwa gaidi mzuri sana inapendeza tukiwa na magaidi kama wale hata kumi tu.
 
Hivi IGP Umeshindwa kulifukia huko baharini hilo limnyama?

Ujue unazidi kututia hasira watanzania ,Polisi wetu wameuliwa bila kosa.

Litupeni baharini huko
 
Hata mimi sijamuelewa huyu anayeitwa IGP. Je na miili ya wale askari nayo wameifanyia kazi?
 
shenzy type ndugu zake toka Somalia waje! manina ameua jamaa namfahamu tena ana familia na watoto!
 
Ule mwili uko riddled with bullets.

Alipigwa si chini ya risasi 30 akiwa chini ukiachia zile alipokua amesimama.

Poleni ndugu na jamaa ila Hamza alikua Gaidi.
Hakuwa gaidi.
Ni mhalifu kama wahalifu wengine wanaopambana na polisi.
Kibiti imetokea , hapo Dar mara ngapi polisi hupambana na majambazi. na hakuna anosema kuwa Magaidi.
kwanini huyu mumuite Gaidi.
Haja iba Bank haja teka Raia hajauwa raia haja sindikiza serikali .
 
Wameshatawanyisha Mapumbu na Mboo.
 
Sawa kwenda kuwa uliza masuali.
sawa kuweka ulinzi kwenye nyumba yawo
lakini kuwachukuwa na kuwapeleka kusijulikana haihusu na unyanya saji wa raia.
 
Post mortem kwa maiti isiyojulikana chanzo cha kifo. Kwa aliyeuwawa kwa risasi nyingi tena na wao wenyewe post mortem ya nini??!!
Wanatafuta cha kumsingizia ili kumsitiri GAIDI wao.
 
Walikua wanakuagua kama ana kadi ya ccm
 
Huenda wanafanya kuwa ni chambo au mtego kwa mtu au watu watakaoenda kuomba kuchukua mwwili kwa nia ya kufanya maadalizi ya mazishi.

Vyombo vya Dola achaneni na 'Dhuluma na Visasi kwa wananchi wanaopambania maisha yao taifa litaangamia muda mfupi ujao.

Kama hamuamini puuzieni hisia za watu...................Tanzania hakuna upendo tena miongoni mwa viongozi na wananchi kwa sababu ya dhuluma, visasi, na ukosefu wa maadili kwa kuwa kila mmoja anajifanya mjuaji na amekaidi mausia ya waliotangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…