Nmemsikia kamanda Siro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hii ni sera ya Wayahudi kwa wapalestina.ndugu yenu akijilipua na nyie adhabu kali inawakuta aidha mbolewe nyumba yote ili mkaishi makambini.Na huu ni uonevu mwingine utakaoongeza chuki dhidi yao. Mtoto (mtu mzima wa zaidi ya miaka 18 na anaisha maisha ya kujitegemea) afanye kosa, mzazi na ndugu wawajibishwe??!! Ni kwa sheria ya wapi jamani?. Mbona inakera, kukasirisha na kusononesha pia? Hao ndugu ndio waliomtuma Hamza kufanya alichofanya??
Kwa hiyo kauli kama ndivyo alivyotamka inawezekana postmortem hiyo si ya kawaida!Ndugu wauchunguze mwili vizuriPost mortem
Si inafanywa na Dr chini ya uangalizi wa police kuona kile wanachotaka kujuaSamahani mzee wa kilinge kwani "siku hizi wanaofanya post mortem ni polisi?"
Bila shaka ni kwa ajili ya usalama tu na si vinginevyo,si unajua ndugu zetu hawa wenye asili ya Somalia,wangeweza kufanya aliyofanya Kamanda Hamza halafu ikawa balaa zaidi.Na huu ni uonevu mwingine utakaoongeza chuki dhidi yao. Mtoto (mtu mzima wa zaidi ya miaka 18 na anaisha maisha ya kujitegemea) afanye kosa, mzazi na ndugu wawajibishwe??!! Ni kwa sheria ya wapi jamani?. Mbona inakera, kukasirisha na kusononesha pia? Hao ndugu ndio waliomtuma Hamza kufanya alichofanya??
Unaweza ukashangilia bila kujua lolote halafu mwisho siku ukaishia kujutia ulichokifanya.Sema umeshangilia wewe! Waliokuwa kwenye tukio pale Salender walishangilia sana baada ya kupigwa gaidi Hamza ya kichwa na ndiyo waliokuwa wanawasaidia wale polisi. Ila wewe Gaidi nafikiri ndiyo ulimshangilia Gaidi Hamza
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
waache kuchukua form four failedNdio hapo huyu kamanda Zero IQ sijui alimaanisha nini
Na huu ni uonevu mwingine utakaoongeza chuki dhidi yao. Mtoto (mtu mzima wa zaidi ya miaka 18 na anaisha maisha ya kujitegemea) afanye kosa, mzazi na ndugu wawajibishwe??!! Ni kwa sheria ya wapi jamani?. Mbona inakera, kukasirisha na kusononesha pia? Hao ndugu ndio waliomtuma Hamza kufanya alichofanya??
Ukiangalia mandiko yake hayaendani kama ana IQ hata ya wastani tu ileHuyu jamaa kila nikisoma comment zake najiuliza hilo jina la mfawidhi alifute tu. Zero kabisa
Inawezekana magaidi wenzake au wafanyabiashara ya madini wenzake.kwenye clip ile analalamika kuwa wenzake wameuawa, kumbe inawezekana magaidi wengi sana wamedhibitiwa na polisi, na yeye alikuwa anawafahamu na kilikuwa kinamuuma. sasa mbona na ubonge wake wote ule bado alikimbia bomu la machozi akatoka nje, jinga sana yule, na alivyopigwa risasi alidondoka kama boga. moja kwa moja motoni na angepewa nafasi kurudi angewasaidia sana wenzie wanaoamini kuna mabikira 72 manake huko kakuta tu moto na shetani.
Nimekupa like!Liulize lichama lako na zero mnafiki wewe
Good thinking afande, Is it possible kugundua risasi iliyomuua imetoka wapi bila ganda la risasi? Ama liliiingia pia???Kufanyia kazi ni pamoja na kutoa Risasi zote, kuzichunguza kama zimetoka kwa Police wetu au Kwa Gaidi mwenzake.
Yawezekana Askari wetu walitaka kumkamata tuu, Gaidi mwenzake akammalizia. Lazima achunguzwe pia kama ni Mla opium.
Nashauri shekhe wa msikiti wamzike kwa mila na desturi za dini ya kiislamu. Hakuna ubaya katika hilo.Huo ni mtego ndugu wapo ndani nani atazika!
Ule mwili uko riddled with bullets.
Alipigwa si chini ya risasi 30 akiwa chini ukiachia zile alipokua amesimama.
Poleni ndugu na jamaa ila Hamza alikua Gaidi.
kwenye clip ile analalamika kuwa wenzake wameuawa, kumbe inawezekana magaidi wengi sana wamedhibitiwa na polisi, na yeye alikuwa anawafahamu na kilikuwa kinamuuma. sasa mbona na ubonge wake wote ule bado alikimbia bomu la machozi akatoka nje, jinga sana yule, na alivyopigwa risasi alidondoka kama boga. moja kwa moja motoni na angepewa nafasi kurudi angewasaidia sana wenzie wanaoamini kuna mabikira 72 manake huko kakuta tu moto na shetani.
Acheni chuki na uislamu.Hivi IGP Umeshindwa kulifukia huko baharini hilo limnyama?
Ujue unazidi kututia hasira watanzania ,Polisi wetu wameuliwa bila kosa.
Litupeni baharini hukn
Hakika Hamza ni Kamanda.R.I.P kamanda Hamza.