Kwa maelezo ya nyakati mbalimbali:
1) Kikwete - wanaCCM hawachiani hata glass za maji
2) Magufuli - niliwahi kuwekewa sumu
3) Mwakyembe - niliwekewa sumu
4) Mambosasa - Manhula aliwekewa sumu
Inaonekana, ndani ya CCM, jitihada za kuuana kwaajili ya madaraka ni jambo la kawaida. Kama wenyewe kwa wenyewe wanauana, wataona shida kumwua asiye mwanaCCM? Watanzania, tuwe makini, hawa, wengi wao, siyo walinzi wa uhai wetu, bali ni watafutaji wa uhai wetu.
Rais ana ulinzi mkubwa sana. LAKINI ajue kuwa kama wapo wanaoutafuta uhai wake, siyo akina Lema, siyo akina Mbowe, siyo akina Lisu, bali ni wanaCCM wenzake, wanaomzunguka kila siku.