Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Nikikumbuka vifo vya Kolimba, Makamu wa Rais Omar Juma, Waziri mmoja wa fedha mtu wa Iringa, yule bosi wa EDF n.k na kuponea chupuchupu Mwakyembe basi Siasa hainifai.
 
Nikikumbuka vifo vya Kolimba, Makamu wa Rais Omar Juma, Waziri mmoja wa fedha mtu wa Iringa, yule bosi wa EDF n.k na kuponea chupuchupu Mwakyembe basi Siasa hainifai.
 
Mazengwe ya Kisiasa wakati mwingine ni mazito. Ngoja tuone show inavyoenda
 
M/Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philipo Mangula akurwa na dalili za sumu. Sio mwili!. Neno mwili linatumika kwa the deceased!.
P
Hata mie ilinistua sana kutumika kwa neno. Nikajua mzee alisha rest in pisi.

Ila bado inanipa mashaka kama hilo neno limetumika kwa bahati mbaya tu ama kuna zaidi ya hilo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa CCM Mangula kupatikana na sumu mwilini mwake siyo jambo la ajabu, jambo la ajabu ni kuwa salama.

Horace Kolimba (rip) aliwekewa sumu na Nani? Maana ni mazingira hayohayo ndiyo yamemtokea Mzee Mangula.

ANGALIZO:
Kwa CCM hii ya Magufuli tutegemee mtifuano mkali sana ndani na nje ya CCM.
Kuna scenario 2 hapa: Huu unaweza kuwa ni mtego wa panya kuingia waliomo na wasiokuwemo. Ile Kamati Ina watu 5: M/Kiti Magufuli, K/Mkuu Bashiru, M/Mwenyekiti Mangula na wengineo 2.

Katika kufikia uamuzi wa kumtimua Benard MEMBE kulikuwa na mvutano mkali Kati ya Wajumbe Kama MEMBE atoswe au apewe muda wa uangalizi Kama ilivoamuliwa kwa KINANA....!

Waliong'ang'ana MEMBE atoswe ni Magufuli na Bashiru huku Mzee Mangula akitaka Membe apewe muda wa uangalizi kama Kinana...!!

Inawezekana Mzee Mangula alionekana ni kikwazo Cha Kutaka kukwamisha mkakati wa KUMFUKUZA MEMBE...! Hivo mtu ambaye amehusika na kumtoa roho Mangula ni mmoja wa wajumbe wa CC ya CCM...!Polisi waanzie hapo...!

Scenario 2: CCM ni wazuri Sana kwa propaganda. Yawezekana SIYO sumu ni pressure or any NCD kwa Mzee Mangula ila wanataka kuigeuza issue I we ni KULISHWA SUMU na waingizwe walio nje lengo ni kuwakomoa Wapinzani akiwemo MEMBE na Viongozi wa vyama vingine va siasa...!
Yajayo yanafurahisha kama SIYO kusikitisha...! Tusubiri muda utasema.
 
M/Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philipo Mangula akurwa na dalili za sumu. Sio mwili!. Neno mwili linatumika kwa the deceased!.
P
Tatizo lenu fisiemu madili Kama hili huwa mnamalizia kwenye viroba mmezoea funga mwili huo kwenye kiroba Hilo neno mwili mlivyolizoea Kuna lifisiemu limoja lilinipigia simu badala ya kuniuliza upo wapi likasema mwili wako upo wapi ? Nikalijibu upo Las Vegas cassino likakata simu.

Fisi ni fisi tu kila kitu inaona Kama mzoga nilipita mikumi na gari yangu Kuna lifisi niliposimama likaja kunusa exhose lilidhani mzoga neno mwili umekutwa na sumu ni mtu aliyekufa tu ! Sio vizuri mtu hai mwenye roho inadunda kumwita mwili ,nikisema mwili upo chart.... Nadhani ndio itakuwa ijumaa kuu yangu
 
Akiongea kwa kujua au kutokujua alionekana kujichanganya sana leo juu ya simu alopewa bwana mangula. Kujichanganya huku hakuna tofauti na kwenye msiba wa AKWILINE.

maswali
Mangula alipewa sumu au alijipa?
Ni sumu ya namna gani hiyo?
Wakati anapewa sumu mambo sasa ulikuwepo?
Kwann unasema alipewa? Hana uwezo wa kula mwenyewe?
Sumu alopewa kwann alopewa inaitwaje? Alipewa akiwa wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja baada ya hukumu ya viongozi wa CDM kesho ndio tutajiuliza kuhusu hii taarifa ya Mambosasa.
Mambosasa hajawahi kuaminika , angalia mchoro huu kuhusiana na kutekwa MO
lakini mpaka leo wale Wazungu wawili hatujawaona hata kisogo !
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Kuna mtu mmoja hivi wanampangia mkakati wa kumkamata ili asichukue FORM YA URAIS, wampe kesi ya jinai ya "KUSUDIO LA KUUA", maana wameona kumpa kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha raia tumeshazizoea kuona wanaompinga jiwe kusukumiwa nazo.

Maana Profesa Mambosasa ile kauli aliosema "TUNAWASAKA MPAKA WALIO NJE YA NCHI" inatutia sintofahamu. Alie nje ya nchi ni Bernad Membe ambae anamuuguza mtoto wake South Africa.

Aliowashauri anawapotosha, wasijaribu hilo wanalotaka kufanya kwa huyo mtu, maana raia wanaweza kuingia mtaani.
 
Back
Top Bottom