Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie ilinistua sana kutumika kwa neno. Nikajua mzee alisha rest in pisi.M/Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philipo Mangula akurwa na dalili za sumu. Sio mwili!. Neno mwili linatumika kwa the deceased!.
P
Kwa CCM Mangula kupatikana na sumu mwilini mwake siyo jambo la ajabu, jambo la ajabu ni kuwa salama.
Last week watu waliuliza ananuka lini, jibu nadhan ndio hili sio?Niguse ninuke inamaana alinukisha jikoni yeye akaenda kula kusikojulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu fisiemu madili Kama hili huwa mnamalizia kwenye viroba mmezoea funga mwili huo kwenye kiroba Hilo neno mwili mlivyolizoea Kuna lifisiemu limoja lilinipigia simu badala ya kuniuliza upo wapi likasema mwili wako upo wapi ? Nikalijibu upo Las Vegas cassino likakata simu.M/Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philipo Mangula akurwa na dalili za sumu. Sio mwili!. Neno mwili linatumika kwa the deceased!.
P
Unamaanisha ameshafariki mkuu?Hata mie ilinistua sana kutumika kwa neno. Nikajua mzee alisha rest in pisi.
Ila bado inanipa mashaka kama hilo neno limetumika kwa bahati mbaya tu ama kuna zaidi ya hilo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambosasa hajawahi kuaminika , angalia mchoro huu kuhusiana na kutekwa MONgoja baada ya hukumu ya viongozi wa CDM kesho ndio tutajiuliza kuhusu hii taarifa ya Mambosasa.