Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

kumbe marehemu alikuwa na makosa,
Kama mmesha anza kumtetea mapema hivi,hata adhabu yake itakuwa ndogo sana.
Lazima.kuna mtu pembeni alikuwa anammega mme wake akawa anambania

Ova
 
Sasa,huyo kiongozi anaeongea,taarifa amepata za upande mmoja. Mbona hajatuletea alichoongea na marehemu tusikie na upande mwingine? Kama uwezekano huo haupo,anatuaminishaje kwamba chanzo ndo hicho! Kisa mwanaume kasema. Yeye ti nchii hii ndo alikataliwa? Wanaokataliwa mbona hawachukui maamzi hayo!
Roho ya ukatili ndo chanzo cha hayo yote! Ameua, ahukumiwe. Mbona kamanda hachauliza chanzo cha kutopewa sasa?
 
😂😁😁Kabisa Kuna siku nilimkunja beki tatu aisee baadae niliomba hadi msamaha nashangaa eti baadae ananiambia alipata Raha usiombe msamaha chaz
Sasa huyu yeye,si bora angebaka hata mke wa jirani kuliko kuua? Hivi,mpaka anaamua atoe shingo,akate vipande,apeleke kutupa huko mtoni,mnadhani hakujua anachokifanya? Si alitaka kupoteza ushahidi? Sasa itakuwaje waseme hakudhamilia!
Ila kama anatokea kwenye familia inayojiweza, hapo kesi ndo itakuwa kama kamanda anavyotaka
 
Hata kama katoka kuliwa ndo amkate Kate ona sasa jela nje nje
Huyo jela yake haitakuwa kama angekuwa ameuwa mtu tofauti na mkewe.

Busara ya kawaida tu ikitumika iweje mke amnyime mumewe unyumba halafu atoke arudi akiwa hana maelezo yaliyonyooka na hakuna anayejua alimjibu nini mumewe alipoulizwa alikotoka,anaweza akawa alimwambia nimetoka kugongwa na wanaojua kugonga.

Usicheze na wanawake wa kizazi hiki anaweza akakupa jibu moja ukaomba ardhi ipasuke.
 
Yaani kunyimwa U-House ndiyo amuue mtu? Tena kinyama vile? Mke wake?
 
Naunga mkono hoja
 
Ulibaka eee
Hamna nilifosi yaani nilimlazimisha na akakibali kunipa ila nilijutia kwanini nilifosi baadae naenda kumuomba msamaha ananiambia hamna shida sema roho yangu ilijutia sana niliogopa maana asije sema kwa mke wangu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…