Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kuna case nyengine lazima hekima ya kisheria itumike.Kwa utetezi wa uwezo mdogo wa kufikiri na uchunguzi wa kidaktari, muuaji atapewa kifungo kidogo tofauti na kosa alilolifanya.
Nataka nivunje sheria za ndoa za kikristo,lazima nioe mke wa pili.
Bwana juma kyando laiti angekuwa na mke wa pili sidhani kama yangefika uku
Huyo jela yake haitakuwa kama angekuwa ameuwa mtu tofauti na mkewe.
Busara ya kawaida tu ikitumika iweje mke amnyime mumewe unyumba halafu atoke arudi akiwa hana maelezo yaliyonyooka na hakuna anayejua alimjibu nini mumewe alipoulizwa alikotoka,anaweza akawa alimwambia nimetoka kugongwa na wanaojua kugonga.
Usicheze na wanawake wa kizazi hiki anaweza akakupa jibu moja ukaomba ardhi ipasuke.
siku ukioa utajua kuna zaidi ya upwiru heshima heshima heshima ndiyo mwanaume anahitaji ndani ya nyumba.Upwiru mpaka unaua papuchi zipo mpaka za bure
Bora aachiwe tu. Huwezi mfunga kisa mwanamke mchepukaji. Ukimfunga watoto atalea nani?Kwa utetezi wa uwezo mdogo wa kufikiri na uchunguzi wa kidaktari, muuaji atapewa kifungo kidogo tofauti na kosa alilolifanya.
Nipo kwenye hii taasisi tangu 2012!siku ukioa utajua kuna zaidi ya upwiru heshima heshima heshima ndiyo mwanaume anahitaji ndani ya nyumba.
Watoto wa wapi tena hapo ndo familia haipo tena yaani uwaulie mama Yao familia iwepo Tena.Bora aachiwe tu. Huwezi mfunga kisa mwanamke mchepukaji. Ukimfunga watoto atalea nani?
Ushaambiwa akili ina walakin unamlaumu mgonjwa wa akiliIla watu ni makatili balaa! Anashindwa kwenda kula nje huko! Mimi anytime tu kwanza ndo muda mzuri wa kubadili chakula
Linapokuja suala la hekima ya sheria udhaifu huwa hauangaliwi ndiyo maana shambani kwako ikukutwa mimea ya bangi unashtakiwa kwa kupanda madawa ya kulevya siyo kwamba serikali haijui kwamba ukienda kuuza utapata hela itakayoingia kwenye mzunguko mtaani na yenyewe ipate kodi.Bado ni sababu dhaifu sana kupelekea mauaji ya kuchinja vipande vipande namna hiyo. Dhaifu mno!!
Kama maneno tu yanakujaza jazba kiasi cha kuona kiza na kutenda ya kinyama basi wewe ni dhaifu mwenye nguvu za mikono na upungufu wa akili.
Kipimo cha utimilifu wa mwanaAdamu ni pamoja na namna gani anaweza kuzitawala hisia zake na kuyaongoza mazingira yake na sio kinyume chake.
Vip wewe humnyimagi shemeji?Upwiru noma
Hakuna kesi hapo kwanza polisi wachunguze kama alikuwa sawa kiakili wakati matatizo ya afya ya akili yapo zaidi ya 300😆😆kumbe marehemu alikuwa na makosa,
Kama mmesha anza kumtetea mapema hivi,hata adhabu yake itakuwa ndogo sana.
Lengo la mahusiano ni kupeanaVip wewe humnyimagi shemeji?