Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
sasa huyu anaonekana yank miaka 35 ndio anaingia vijana wa sasa hawafundwi na kuwekwa chini kwenye jando na kupewa namna ya kuishi na mke mzee wangu. Sisi tukishakuwa wakongwe unachoangalia unaangalia watoto tuu fura yako unajua pa kuipatia mzee wangu ewaaNipo kwenye hii taasisi tangu 2012!
Watoto wanatupelekesha chini sio issue tena. Mechi za nje mara moja moja napiga.... Ngono imeshapoa kwetu. Akinibania kesho yake natafuta dogodogo imepita. Upande wake hata simfuatilii. Sitaki kujua. Nina makoloni yangu kadhaa ambao wao wana watu wao nawatafuta tu nikitaka mechi. Malipo ya hapa na pale!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Kabisa Kuna siku nilimkunja beki tatu aisee baadae niliomba hadi msamaha nashangaa eti baadae ananiambia alipata Raha usiombe msamaha chaz
Afu akipata mimba, unamfukuzia kijijin kwao, wakateseke wazaz wake kulea mimba yako??Hamna nilifosi yaani nilimlazimisha na akakibali kunipa ila nilijutia kwanini nilifosi baadae naenda kumuomba msamaha ananiambia hamna shida sema roho yangu ilijutia sana niliogopa maana asije sema kwa mke wangu aisee
Nipo kwenye hii taasisi tangu 2012!
Watoto wanatupelekesha chini sio issue tena. Mechi za nje mara moja moja napiga.... Ngono imeshapoa kwetu. Akinibania kesho yake natafuta dogodogo imepita. Upande wake hata simfuatilii. Sitaki kujua. Nina makoloni yangu kadhaa ambao wao wana watu wao nawatafuta tu nikitaka mechi. Malipo ya hapa na pale!
Linapokuja suala la hekima ya sheria udhaifu huwa hauangaliwi ndiyo maana shambani kwako ikukutwa mimea ya bangi unashtakiwa kwa kupanda madawa ya kulevya siyo kwamba serikali haijui kwamba ukienda kuuza utapata hela itakayoingia kwenye mzunguko mtaani na yenyewe ipate kodi.
Kwa kesi mezani wewe kama ungekuwa ndugu wa mtuhumiwa ungejisikiaje kama ulikuwa unayajua masahibu yote aliyokuwa anayapata kutoka kwa mkewe halafu usikie leo anaenda jela maisha?ungekuwa tayari kuwalea hao watoto walioachwa huku ukijua kabisa kisababishi cha hayo yote ni mke wa ndugu yako?
Kingine hakuna binadamu mkamilifu wote sisi ni watuhumiwa watarajiwa hatujapata tu wasaa wakuonyesha upande wetu mwengine.
Plan B is the only way, hasa kwa hizi ndoa za kunyimana bila sababu za msingi. Ukinyimwa wala usiumize kichwa, pigia simu tu then kesho after job pitia pale kula vitu hadi kiu iishe, then rudi home ukae kimya, mda wa kulala geuza mgongo then koroma kabisa...
Kweli hadinukamuue mtu kisa kakunyima! Kwani kunakuwaga na nini humo kwenye hiyo kitu?Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani humo, ameuawa kutokana mgogoro wa ndoa na Mume wake kwasababu ya kumnyima unyumba Mumewe.
Amesema mara baada ya kumkamata Mtuhumiwa Juma Kyando (36) ambaye ni Mume wa Tumaini (Marehemu) kwa kuhusika na mauaji hayo wamebaini kuwa Familia yao ilikuwa na matatizo ya ndoa kwa muda mrefu ambapo Mwanaume amekuwa akinyimwa unyumba lakini pia siku aliyotekeleza mauaji hayo Mke wake alichelewa kurudi nyumbani.
“Familia hii ilikuwa na tatizo la ndoa kwa muda mrefu na Mwanaume amekuwa akinyimwa unyumba na siku hiyo ya tukio Mwanamke aliondoka nyumbani na alichelewa kurudi alipohojiwa na Mume wake hakuwa na maelezo mazuri jambo ambalo lilimpandisha hasira Mumewe na kutekeleza tukio hilo, niueleze tu umma Mtu huyu tumemkamata na tunakamilisha upelelezi ili tuweze kumifikisha Mahakamani”
Hata hivyo Kamanda Banga amesema kwa namna Mtuhumiwa alivyokuwa akitekeleza tukio hilo imeonesha uwezo wake wa kufikiri ulikuwa ni mdogo hali inayowafanya waendeleee na uchunguzi wa kidaktari ili kuona kama alikuwa mzima wa afya wakati akitekeleza tukio hilo.
- Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni
Kila mtu ana approach yake mkuu.Haisaidii hata chembe. Ni Sawa na kuupaka mzoga manukato.
Lakuvunda halina ubani.
Simamieni viapo vyenu vya ndoa na ikishindikana kuna mamlaka zipo kwa ajili yenu. Usaliti uzaa umauti.
SawaUnachokitafuta kwenye hayo “mashimo” yote utakipata.
Halafu miaka 11 tu ndio mshachokana hivyo?! Ilitakiwa muachane mapema zaidi ya sasa kuokoa nafsi za watoto Kama mnao.
Kataa Ndoa ni wahuni kama hawa akina Tumain.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani humo, ameuawa kutokana mgogoro wa ndoa na Mume wake kwasababu ya kumnyima unyumba Mumewe.
Amesema mara baada ya kumkamata Mtuhumiwa Juma Kyando (36) ambaye ni Mume wa Tumaini (Marehemu) kwa kuhusika na mauaji hayo wamebaini kuwa Familia yao ilikuwa na matatizo ya ndoa kwa muda mrefu ambapo Mwanaume amekuwa akinyimwa unyumba lakini pia siku aliyotekeleza mauaji hayo Mke wake alichelewa kurudi nyumbani.
“Familia hii ilikuwa na tatizo la ndoa kwa muda mrefu na Mwanaume amekuwa akinyimwa unyumba na siku hiyo ya tukio Mwanamke aliondoka nyumbani na alichelewa kurudi alipohojiwa na Mume wake hakuwa na maelezo mazuri jambo ambalo lilimpandisha hasira Mumewe na kutekeleza tukio hilo, niueleze tu umma Mtu huyu tumemkamata na tunakamilisha upelelezi ili tuweze kumifikisha Mahakamani”
Hata hivyo Kamanda Banga amesema kwa namna Mtuhumiwa alivyokuwa akitekeleza tukio hilo imeonesha uwezo wake wa kufikiri ulikuwa ni mdogo hali inayowafanya waendeleee na uchunguzi wa kidaktari ili kuona kama alikuwa mzima wa afya wakati akitekeleza tukio hilo.
- Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni
Ila wanaume wengine sijui ni kukosa kazi au vipi.NDOA NI USHAMBA, Papuchi zipo kibao sio mpaka Mkabakane ndoani ona sasa tukiwakataza kuoa mnatuona Malaya.
Inasikitisha sanaAfu akipata mimba, unamfukuzia kijijin kwao, wakateseke wazaz wake kulea mimba yako??