Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

👏Ukitaka kutibu ugonjwa jua chanzo cha ugonjwa halafu shambulia hicho chanzo utakuwa umezuia ugonjwa huo ( preventive measures)

👏Kwa hili wanachokifanya mapolisi nawapa kongole kubwa kwa sababu ukizuia wanunuzi wauzaji hawatakuwepo ( Demand supply theorem)
Nawe kumbe hujui chazo!
 
Kwan chanzo cha malaya ni wingi wa wateja ?
Kuna sababu nyingi zaid ya hio zinazofanya kuwepo kwa ongezeko la biashara ya umalaya. Leo utakamata wateja, watoa huduma watabadirisha mtindo wa kutoa huduma zao ili kuwalinda wateja wao.
 
Kwamba polisi wetu ufahamu wao na upembuzi umeishia hapo?

Mbona watu wanajiuza mitandaoni kuliko hata mitaani.
 
Mteja ndio mfalme wa hiyo biashara
Kamanda Mulirio yuko sahihi mia kwa mia kudhibiti hilo Tatizo namuunga mkono

Anafanya kazi kisayansi
 
Kwamba polisi wetu ufahamu wao na upembuzi umeishia hapo?

Mbona watu wanajiuza mitandaoni kuliko hata mitaani.
Hao TCRA ihangaike nao hawa wafanya miguu wa mitaani kwa Tandika kwa wahaya Muliro ndie ahangaike na wateja wao kuwadaka
 
Hapo wamelenga wale malaya wa low class ila wale wa middle na high class sizan kama watagusu.
 
👏Ukitaka kutibu ugonjwa jua chanzo cha ugonjwa halafu shambulia hicho chanzo utakuwa umezuia ugonjwa huo ( preventive measures)

👏Kwa hili wanachokifanya mapolisi nawapa kongole kubwa kwa sababu ukizuia wanunuzi wauzaji hawatakuwepo ( Demand supply theorem)
Kwenye kupiga miti hii nadharia yako haina
 
Hapo wamelenga wale malaya wa low class ila wale wa middle na high class sizan kama watagusu.
Middle na high class hujiuza maofisini akitaka cheo anajiiuza,akitaka promotion anajiuza, akitaka favour fulani ya kiofisi anajiuza huko ofisini anajiuza kwa mabosi yeye ni kupanua miguu tu kupsnulia mabosi wanaume kwenda mbele utafikiri miguu ililiumbwa kwa kazi hiyo tu.

Umalaya huo wa maofisini ofisi husika washughulike nao Takukuru huu wa mitaani tuachie polisi
 
Mteja ndio mfalme wa hiyo biashara
Kamanda Mulirio yuko sahihi mia kwa mia kudhibiti hilo Tatizo namuunga mkono

Anafanya kazi kisayansi
Ana deal na mteja kwenye mazingira yapi?
Vip kwa Watoa huduma wa nao tuoa hizo huduma majumbani kwao wao anadeal na wateja wao vip?
 
wale malaya na mapolisi wao lao moja wanatuchomesha wateja wao!

kuna siku mishale ya saa 7 natokea maeneo flani nilipofika karibu na taifa kwa mbele kama unakuja tazara kuna chimbo nalijua naenda kupata huduma za madada poa. nikawa na mgogoro wa nafsi niende au nisiende baada ya kufikia muafaka nikasema ngoja niridhishe nafsi yangu nikanyooshe kiuno kidogo. nikaenda sheli na kumkabidhi mlinzi tukutuku yangu na kuanza kukata mitaa. baada ya kona kadhaa nikakutana na pisi moja ila tukashindwana bei alinitajia bei kubwa aliniona sijui wakuja nikamwambia mimi sijatokea kilosa mi born town bei nazijua vizuri na biashara na nyie nshafanya sana sipigwi kizembe ivo nikasepa

hatimaye nikaelewana na kazi moja hivi ikachukua chake mapema na kuzungusha kona moja kuna matank ya maji. ikainamaa pale na mimi nikashusha suruali tayari kwa kupiga yope. nimepiga tako kama nne hivi nikasikia bunduki ya baridiiii ikko matakoni mboo ililala palepale nasikia maliziaaa. kumbe ni wale maaskari wa doria ya usiku na mda ni saa 8 usiku iyo. nikapigwa pingu nikaingizwa kwenye noah chaajabu yule malaya hakukamatwa.

nilizungushwa mitaa kibao kama napelekwa utuo baadae nikachekechwa nitoe elfu 50 waniachie maana utuo naenda kuisha. "wanangu nina buku 7 mfukoni sina kitu" ahaa ushaniona na na mimi malaya naki
najiuza unataka kunitomb** na mimi au sio ngoja tukakuweke ndani njagu yule alinijibu ila baadae mwisho wale maaskari walichukua elfu 10 wakaniachiaa ila waliniacha mbali kinoma saa 9 usiku nikaanza kukata mitaa nirudi sheli alafu walivyokua wananifungua pingu eti dogo pale ukikata kona ya kwanza ya pili mkono wa kushoto kuna malaya wazuri kuliko wale wa mwanzo nenda kapige show" mamaeee

narudi zangu mbezi saa kumi kichwa kinawaka moto. wale malaya na maaskari lao moja wanatuchomesha sisi wateja mamaeeView attachment 2176403
😄😄😄😄😁Pascal Mayala njoo huku utengeneze documentary

Mumekaa tu kuripoti official news kuna breaking news mitaani nyie/
 
Middle na high class hujiuza maofisini akitaka cheo anajiiuza,akitaka promotion anajiuza, akitaka favour fulani ya kiofisi anajiuza huko ofisini anajiuza kwa mabosi yeye ni kupanua miguu tu kupsnulia mabosi wanaume kwenda mbele utafikiri miguu ililiumbwa kwa kazi hiyo tu.

Umalaya huo wa maofisini ofisi husika washughulike nao Takukuru huu wa mitaani tuachie polisi
Nan kakwambia wapo waofisin tu? Ata mtaan wapo wao uwalazi kwenye vilodge vya 10k kwanza huduma na gharama zao sio kama za uswahilini. Ingia huku utawaona www.exotictanzania.com
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti ambayo haitahusisha matumizi ya nguvu kwa wanawake wanaofanya biashara hiyo.

“Kuna sehemu tuliweka kambi kwa siku tatu, hatukuwakamata wanawake amao walikaa pale wakipigwa na baridi kwa siku zote hizo, wanaume hawakutokea na ndiyo tuliokuwa tukiwasubiri, baada ya kuona hakuna wateja wanawake hao hawakurudi eneo hilo.

“Nimeelekeza na kuagiza wanaume wakamatwe kwa kuwa kama hawataenda maeneo hayo basi hiyo biashara haitakuwepo,” - Muliro.

Chanzo: Wasafi FM

Watie kambi pale Kitambaa Cheupe, watakamata wanaume wooote wa pale.[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii mikakati ingefaa sana iwapo ingetumika 1970s.

In this digital world watang'atwa mbu bure tu na wala haitosaidia kitu,tena DSM!
 
Back
Top Bottom