Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

Kamanda wangu Muliro namuheshimu sana maana pia ni Mwalimu wangu nilipokuwa Depo CCP 1998,yeye kipindi hiko alikuwa Inspekta pale akiwa Mkufunzi,naamini kazi hiyo ya ku-deal na Dada poa HATAKUJA kuiweza,ni vema awekeze nguvu kubwa kwenye kupambana na Uhalifu mwingine na sio hao Dada poa
so now haupo tena geshi la polisi mkuu???
 
Kabla ya kuwakamata wanawachunglia kwanza...
 
Waje na huku kwenye salon za kiume za kunyolea nywele.
Pale ukiingia pale chobingo kwa kisingizio Cha ku scrub Kuna mengi hutendeka.
 
Polisi wana kazi.
Wana kazi kweli kweli maana sehemu Kama Buguruni sijui wataweka kambi ngapi?
Huku Mbagala nako kunadai wakati Tabata, Sinza, Mwananyamala bila kusahau Mantheysay Kuna hitaji Askari wa kuwalinda dada poa.
Kinondoni sijui ni Askari gani atakaa jirani na makaburi.
Kwa wahaya je?
Police. You are planning to fail.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti ambayo haitahusisha matumizi ya nguvu kwa wanawake wanaofanya biashara hiyo.

“Kuna sehemu tuliweka kambi kwa siku tatu, hatukuwakamata wanawake amao walikaa pale wakipigwa na baridi kwa siku zote hizo, wanaume hawakutokea na ndiyo tuliokuwa tukiwasubiri, baada ya kuona hakuna wateja wanawake hao hawakurudi eneo hilo.

“Nimeelekeza na kuagiza wanaume wakamatwe kwa kuwa kama hawataenda maeneo hayo basi hiyo biashara haitakuwepo,” - Muliro.

Chanzo: Wasafi FM
mtu hawezi kwenda kununuwa mihadarati wakati wauza mihadarati hawapo.Ushauri wapigwe marufuku hao wauzaji
 
Bongo sihami

IMG-20220405-WA0018.jpg
 
PGO imewashinda kumkamata na kumshitaki mtu wa namna hiyo Sheria inasema nilazima wawe watatu umewakuta pamoja .....ukikamata wawili au mmoja haikusaidii ni rushwa tu
 
Kamanda Muliro Kaza hapo hapo hivyo vidume malaya vikiteka vioe hao malaya kupunguza ukimdai na wanawake wasioolewa na pesa za matumizi majumbani kupelekwa kwa malaya

Ashikiliwa hapo hapo kamanda funga mitaa ya malaya na defender au Askari wenye nguo kabisa za uaskari mitaa ya malaya wanaojiuza weka Askari mwanzao wa mtaa na mwisho usiongee chochote
 
Sioni tatizo kwenye hii biashara ya ukahaba na inashangaza wanapotumia nguvu nyingi kuzuia hii biashara

Nikimkumbuka rahabu wa kwenye biblia ndo nazidi kushangaa kabsa hata yuda aliponunua mwanamke ili ale mzigo ndo kabsa pumzi inaisha sasa kama kitu ni cha enzi na enzi kwann uhangaike kuzuia!!??

Wakati kuna mambo mengi ya msingi unayopaswa kufanya kuliko kuharibu mafuta na yalivyopanda bei kwa vitu vya kijinga!!?

Wanunuaji wote na wauzaji wanajua kabsa nn wanafanya hivyo wawaache huru tupambane na ushoga tu kwa nguvu zote

Ni mtazamo tu lkn
 
Kwenda mkuu umeshindaje?
Ushamaliza kutawaza maboss zako mkuu, naona umetanua mapaja unapoteza muda humu JF huku ukicheka kuonesha magego yako 32.

Embu fanya urudi nyumbani
 
Ushamaliza kutawaza maboss zako mkuu, naona umetanua mapaja unapoteza muda humu JF huku ukicheka kuonesha magego yako 32.

Embu fanya urudi nyumbani
Hahaha. Sasa hivi tunapata competition kali kutoka kwa wayukrein. Yani mijitu inapiga Kazi kama haina akili nzuri. Nimetulia zangu ghetto tu.

Nyumbani nitarudi nikipata Kazi nalipwa shilingi elfu 75 kwa saa. Nikipata narudi.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti ambayo haitahusisha matumizi ya nguvu kwa wanawake wanaofanya biashara hiyo.

“Kuna sehemu tuliweka kambi kwa siku tatu, hatukuwakamata wanawake amao walikaa pale wakipigwa na baridi kwa siku zote hizo, wanaume hawakutokea na ndiyo tuliokuwa tukiwasubiri, baada ya kuona hakuna wateja wanawake hao hawakurudi eneo hilo.

“Nimeelekeza na kuagiza wanaume wakamatwe kwa kuwa kama hawataenda maeneo hayo basi hiyo biashara haitakuwepo,” - Muliro.

Chanzo: Wasafi FM
Nadhani ili zoezi liende sawa kwenye hizo doria wawe askari mchanganyiko.sababu wakienda dorua askari wa kiume peke yao atawapoteza askari wake wote
 
Waache upumbavu hao polisi.

Kiukweli hawa wanawake wanatupunguzia genye sana hao.
Kwa wale vijana wachakarikaji wasiotaka kuhonga sana wananielewa aisee.

Waanze kuwatoza kodi tu.
 
Watu wako telegram siku hizi, unapatana bei unamkuta lodge kabsa
 
Back
Top Bottom