Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

Nawe kumbe hujui chazo!
 
Kwan chanzo cha malaya ni wingi wa wateja ?
Kuna sababu nyingi zaid ya hio zinazofanya kuwepo kwa ongezeko la biashara ya umalaya. Leo utakamata wateja, watoa huduma watabadirisha mtindo wa kutoa huduma zao ili kuwalinda wateja wao.
 
Kwamba polisi wetu ufahamu wao na upembuzi umeishia hapo?

Mbona watu wanajiuza mitandaoni kuliko hata mitaani.
 
Mteja ndio mfalme wa hiyo biashara
Kamanda Mulirio yuko sahihi mia kwa mia kudhibiti hilo Tatizo namuunga mkono

Anafanya kazi kisayansi
 
Kwamba polisi wetu ufahamu wao na upembuzi umeishia hapo?

Mbona watu wanajiuza mitandaoni kuliko hata mitaani.
Hao TCRA ihangaike nao hawa wafanya miguu wa mitaani kwa Tandika kwa wahaya Muliro ndie ahangaike na wateja wao kuwadaka
 
Hapo wamelenga wale malaya wa low class ila wale wa middle na high class sizan kama watagusu.
 
Kwenye kupiga miti hii nadharia yako haina
 
Hapo wamelenga wale malaya wa low class ila wale wa middle na high class sizan kama watagusu.
Middle na high class hujiuza maofisini akitaka cheo anajiiuza,akitaka promotion anajiuza, akitaka favour fulani ya kiofisi anajiuza huko ofisini anajiuza kwa mabosi yeye ni kupanua miguu tu kupsnulia mabosi wanaume kwenda mbele utafikiri miguu ililiumbwa kwa kazi hiyo tu.

Umalaya huo wa maofisini ofisi husika washughulike nao Takukuru huu wa mitaani tuachie polisi
 
Mteja ndio mfalme wa hiyo biashara
Kamanda Mulirio yuko sahihi mia kwa mia kudhibiti hilo Tatizo namuunga mkono

Anafanya kazi kisayansi
Ana deal na mteja kwenye mazingira yapi?
Vip kwa Watoa huduma wa nao tuoa hizo huduma majumbani kwao wao anadeal na wateja wao vip?
 
😄😄😄😄😁Pascal Mayala njoo huku utengeneze documentary

Mumekaa tu kuripoti official news kuna breaking news mitaani nyie/
 
Nan kakwambia wapo waofisin tu? Ata mtaan wapo wao uwalazi kwenye vilodge vya 10k kwanza huduma na gharama zao sio kama za uswahilini. Ingia huku utawaona www.exotictanzania.com
 
Watie kambi pale Kitambaa Cheupe, watakamata wanaume wooote wa pale.[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii mikakati ingefaa sana iwapo ingetumika 1970s.

In this digital world watang'atwa mbu bure tu na wala haitosaidia kitu,tena DSM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…