Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

Na ambao tunawaona barabarani wako nchi gani?
 
Watie kambi pale Kitambaa Cheupe, watakamata wanaume wooote wa pale.[emoji91][emoji91][emoji91]
Ha ha ha baa ngumu coz hawaezi jua ka demu wako au lah mana staili mara nying inanzia kwny kununuliana vinywaji baa hawatapata kitu
 

Nadhan ana kitu kipya lakini afikirie vizuri !! hao wadangaji wanakagrup wasap,n biashara mitandaoni
 
Wanawakamata na wao wanakula humohumo
 
Lakini pia ukizuia wauzaji, wanunuzi hawatakuwepo kwa vile hakuna cha kununua.
 
Watu wamejiajiri halafu mnazuia wateja wao mtasababisha mfumuko wa bei kwenye hiyo biashara.
 
Kidogo kidogo nchi itakuwa kama zanzibar okoa vijana mkimaliza huko muende kwenye kubet kule ndo watu hawasikii chochote kile licha ya kuliwa hela.
 
Kidogo kidogo nchi itakuwa kama zanzibar okoa vijana mkimaliza huko muende kwenye kubet kule ndo watu hawasikii chochote kile licha ya kuliwa hela.
Hela za kubetia za mwanaume mwenzio zinakuuma sio!? Acha aliwe si za kwake...
 
Na wakiwakamata hao wanaume nao waliwe ili wasirudie tena kuwachukua dada poa.
 
Mambo mengine yalishashindikana .... makonda mwenyewe alinyoosha mikino
 
Hayo ni matumizi mabaya ya muda na akili.Labda kama lengo lake ni wasionekane wako barabarani ila kama lengo nikuzuia ufuska hiyo mbinu haiwezi kufanya kazi maana wahusika watakachokifanya nikubadili mbinu.
 
Sio biashara zote unaweza kufanya hivyo.wanawake ni bidhaa muhimu sana kwa wanaume.Labda kama hujawai kua mwanaume ndo huwezi kujua hili.kwahiyo kwa umuhimu huo ambao pia wanawake wanaujua kua wao ni muhimu kitakachofanyika ni mbinu zaidi kuboreshwa ila biashara itabaki kua vile vile.
 
Na ambao tunawaona barabarani wako nchi gani?
Hao ni wale wanaomalizikia malizikia ndo maana wanasubiri walevi na wapitaji barabarani.ila miaka inavyozidi kwenda wanazidi kupungua barabarani.Kuna miji ukienda ukuti malaya barabarani ila kuna ufuska wa hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…