mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
so now haupo tena geshi la polisi mkuu???Kamanda wangu Muliro namuheshimu sana maana pia ni Mwalimu wangu nilipokuwa Depo CCP 1998,yeye kipindi hiko alikuwa Inspekta pale akiwa Mkufunzi,naamini kazi hiyo ya ku-deal na Dada poa HATAKUJA kuiweza,ni vema awekeze nguvu kubwa kwenye kupambana na Uhalifu mwingine na sio hao Dada poa
Wengi wao ni wanyonge wa div4 form fourPolisi wana kazi.
tupe ushuhuda mkuu!!Waje na huku kwenye salon za kiume za kunyolea nywele.
Pale ukiingia pale chobingo kwa kisingizio Cha ku scrub Kuna mengi hutendeka.
Wana kazi kweli kweli maana sehemu Kama Buguruni sijui wataweka kambi ngapi?Polisi wana kazi.
mtu hawezi kwenda kununuwa mihadarati wakati wauza mihadarati hawapo.Ushauri wapigwe marufuku hao wauzajiJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti ambayo haitahusisha matumizi ya nguvu kwa wanawake wanaofanya biashara hiyo.
“Kuna sehemu tuliweka kambi kwa siku tatu, hatukuwakamata wanawake amao walikaa pale wakipigwa na baridi kwa siku zote hizo, wanaume hawakutokea na ndiyo tuliokuwa tukiwasubiri, baada ya kuona hakuna wateja wanawake hao hawakurudi eneo hilo.
“Nimeelekeza na kuagiza wanaume wakamatwe kwa kuwa kama hawataenda maeneo hayo basi hiyo biashara haitakuwepo,” - Muliro.
Chanzo: Wasafi FM
Ndio wanatakiwa kudhibitiwaWanunuzi ndo wapuuzi
Kwenda mkuu umeshindaje?Hahha hata kama ningekuwa polisi ningekuwa nakula marupurupu tu, kwema ndugu
Ushamaliza kutawaza maboss zako mkuu, naona umetanua mapaja unapoteza muda humu JF huku ukicheka kuonesha magego yako 32.Kwenda mkuu umeshindaje?
Hahaha. Sasa hivi tunapata competition kali kutoka kwa wayukrein. Yani mijitu inapiga Kazi kama haina akili nzuri. Nimetulia zangu ghetto tu.Ushamaliza kutawaza maboss zako mkuu, naona umetanua mapaja unapoteza muda humu JF huku ukicheka kuonesha magego yako 32.
Embu fanya urudi nyumbani
Nadhani ili zoezi liende sawa kwenye hizo doria wawe askari mchanganyiko.sababu wakienda dorua askari wa kiume peke yao atawapoteza askari wake woteJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo.