Mtani si nilisema mpaka full time magoli yatakuwa mawili🤔 ndivyo ilivyotokea🤣🤣Mtani goli ngapi ngapi huko?
Leo hawajapewa penati ila wamepewa goli la offsidesYanga walisema wanajitoa ?
Pole Mkuu.Hii timu hivi wako serious kweli hawa wap...uzi.
They are f****cking crazy hawa wachezaji and useless piece of trashes.
Nimekwazika kwa kweli kwa mambo haya wanayofanya wachezaji
HhahGame hii Yanga atashinda, kwa afya ya mchezo wa soccer Tanzania.
Itabidi namna ifanyike.
Pole mtani, naona umekwazika kweli hadi unaongea kingeleza chenye 🌟 🌟Hii timu hivi wako serious kweli hawa wap...uzi.
They are f****cking crazy hawa wachezaji and useless piece of trashes.
Nimekwazika kwa kweli kwa mambo haya wanayofanya wachezaji
Hhah
With all due respect my dear friend, Simba SC ipo mtaa wa pili tu pale mtaa wa Msimbazi, hebu chukua bajaji hapo, au boda, fanya fasta wahi kadi yako na uzi wa Klabu Bingwa Afrika, muda umebaki mchache kwa ajili yako.Hii timu hivi wako serious kweli hawa wap...uzi.
They are f****cking crazy hawa wachezaji and useless piece of trashes.
Nimekwazika kwa kweli kwa mambo haya wanayofanya wachezaji
Asante Mkuu. Huu mwenendo kwa kweli nimeuchoka kwa sasa. Ningeweza ningehama timu. Yaani nafasi kibao wanazichezea wanabaki kulinda kagoli kamoja ambako kanakuja rudishwa mwishoni. Na sio mara ya kwanza. Inauma sana kuona wachezaji hawathamini kabisa heshima ya timu.Pole Mkuu.
Kiongozi kwa mambo timu inayoyafanya saizi ingekuwa rahisi i would jump to side B ASAP. Ila sio rahisi.With all due respect my dear friend, Simba SC ipo mtaa wa pili tu pale mtaa wa Msimbazi, hebu chukua bajaji hapo, au boda, fanya fasta wahi kadi yako na uzi wa Klabu Bingwa Afrika, muda umebaki mchache kwa ajili yako.
YapNini uko?
Moja moja?