Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Hawa Yanga hawa ni wehu, timu zingine zikikutana nae zitakua na confidence sana
 
Hii timu hivi wako serious kweli hawa wap...uzi.
They are f****cking crazy hawa wachezaji and useless piece of trashes.
Nimekwazika kwa kweli kwa mambo haya wanayofanya wachezaji
With all due respect my dear friend, Simba SC ipo mtaa wa pili tu pale mtaa wa Msimbazi, hebu chukua bajaji hapo, au boda, fanya fasta wahi kadi yako na uzi wa Klabu Bingwa Afrika, muda umebaki mchache kwa ajili yako.
 
Kiongozi kwa mambo timu inayoyafanya saizi ingekuwa rahisi i would jump to side B ASAP. Ila sio rahisi.
Players wamekuwa amateurs tu uwanjani
 
Back
Top Bottom