Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
hiyo ni sherehe tu ya kipagani, hakuna Yesu hapo.Acheni haya mambo, Yesu ni mkuu kuliko binadamu. Kufufuka kwa Yesu kristo ni sherehe kubwa sana katika imani ya Ukristo.
lete andiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni sherehe tu ya kipagani, hakuna Yesu hapo.Acheni haya mambo, Yesu ni mkuu kuliko binadamu. Kufufuka kwa Yesu kristo ni sherehe kubwa sana katika imani ya Ukristo.
Wewe ni nani unipangie maisha yangu?Ndo uende ukalewe kisa kafufuka? Hebu kuwa siliaz kidogo
Wewe kama una abudu binadamu wenzako endelea ,sisi tuache na Yesu wetu. Nyie watu hiki kiburi kitawaumiza sana nyie endeleeni tu.hiyo ni sherehe tu ya kipagani, hakuna Yesu hapo.
lete andiko
hiyo ni sherehe tu ya kipagani, hakuna Yesu hapo.
lete andiko
Huna pesa umefuliaNaunga mkono hoja.