Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

Yaani Bwana wetu Yesu Kristu afufuke tukodoe macho tuu! Marehemu alimjua, alimwabudu na kumtumikia Bwana Yesu! Bwana Yesu hawezi ku compromise na binadamu ndio maana Good Friday tunaadhimisha kufa kwake - ni Public holiday ya huzuni na Pasaka Bwana Yesu anafufuka - ni Public holiday ya kushangilia ushindi wa mauti.

Basi, afande mimi nimekusikia, lakini sikukuelewa.

Hivi kutoelewa ni kosa la jinai?
 
Tuache sherehe ya sikukuu yetu muhimu sana kisa Jiwe aliyezikwa na shuka jekundu , ngozi ya kondoo na mkuki thubutu .
 
Nchi ishakuwa ya kiislam sasa Sharia kama za Isis na boko haram... tuacheni au tangazeni Vita tunasheherekea nuneni pambav zenu
 
Niagizo au nikujipendekeza? Unawezaje kusema ufufuko Wa kristo bwana wetu. Hauna maana kisa kifo cha magufuli unapaswa sio tu kuuomba msamaha ila pia kujitafakali nakuchukua hatua
 
Hii inamaanisha magufuli ni zaidi ya Yesu kristo .shtukeni mnaibiwaaa
 
Ndugu msomaji!; na Hawa ndio watanzania katika ubora wao!

Wakati Hayati Rais wao JPM akiwaasa kumkumbuka Mungu na kumuomba bila kuchoka, walimdhihaki!

Leo kibao kipo upande wao! Wapindue meza ama Waache isimame?!

Yote ni juu yao!

Tanzania!
 
Back
Top Bottom