Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ya kukamatwa huyo mama ni ya kweli maana police wamthibisha kumshikilia. Haileti picha nzuri. Ni vyema akaachiwa.Hakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.
BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.
Nguo za kijani ndo dress codes za msiba? Kesho Zanzibar utawaona ACT na CCM wakiwa na mavazi yao bila bughudha.Unajua dress code ya msiba au unakimbilia matusi tu.
Hata kama unamchukia mtu akishakufa hakuna sababu ya kushangilia
Acha kupotosha, kesi ni ushahidi . Kama ushahidi upo wazi, watashinda vipi? Watu kibao wanakamatwa kwa kupost upuuzi kama wanaopost.Hao ni akili kubwa wajuzi wa sheria. wanajua wanaposti nini katika angle ya kisheria.wakienda mahakamani wanashinda Kama anavyoshinda Tundu Lissu umaarufu miongoni mwa watanzania unapanda.kamata Kanata za mihemuko inafanya kazi kwa wanyonge + masikini Kama hao.
Si jambo jema kusherekea kifo
RIP Rais dk JPM.
Kuna watu wanajimwambafayi hadi kwenye misiba. Jana niliona kijani wakati wa kuaga mwili wa JPM,kwa nini wasikamatwe? Baadhi ya ma CCM yamebeba mapapai vichwani.Jinga hilo unahangaika kulijibu.
Huyo Mataga mwenye IQ hafifu Mimi huwa hanisumbuagiAcha uzushi huyu maria nimepishana nae town juzi kati na kigari chake cha njano cha kisista du acha kuwalisha watu matango pori mzee
Wamefurahia Mzizi Mkuu wa Korosho zao Kusombwa na Maji ya Mto Rufiji na kwamba huenda Korosho zao za Msimu ujao si tu zikawa nyingi bali pia watapata mno Faida ya Kimauzo kupitia Kangomba Wao waliowazoea.Wana kosa gani mpaka wakamatwe?
Tena yasiyovumilika na ya Kufedhehesha.Mbona ata the Late alikuwa na matusi tu
Mtu wa tatu ila wote washabiki wa MAN CITY SIO
Huna akili. Yaani kwa mawazo yako haya akili zako ni kama mbuzi za kuvukia bara bara na meko alifanikiwa sana kuwatia ujinga kama hitler alivyofanikiwaMnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.
Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Siku hizi umechukua nafasi aliyokuwa nayo johnthebaptist ambaye kiwango chake kimeshuka sana. Kwa taarifa yako Polisi wanakamata watu wa kada za chini kwa vile wanajua wazi hakuna kosa walilotenda. Ni vigumu kujua huyu anasherehekea au anakunywa pombe na kula nyama choma kwa raha zake. Ni wapi imeandikwa Rais akifa wananchi waache kunywa bia? Kama ukiwakuta baa au nyumbani kwa mmoja wao wamenunua kreti zao 3 na mbuzi wanachoma ukawakama, huko mahakamani utakwenda kusema umewakuta wanasherehekea au wanakula na kunywa?Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.
Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Tupe dress code ya msiba na utueleze ilipoandikwa.Unajua dress code ya msiba au unakimbilia matusi tu.
Hata kama unamchukia mtu akishakufa hakuna sababu ya kushangilia
Na wewe wakisema kwanini hukamatwi?Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.
Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Wanaonea wananchi wa kawaida wanaoomboleza kwa kunywa bia. Wanaovunja makosa ya mtandao wanawaacha.Siku hizi umechukua nafasi aliyokuwa nayo johnthebaptist ambaye kiwango chake kimeshuka sana. Kwa taarifa yako Polisi wanakamata watu wa kada za chini kwa vile wanajua wazi hakuna kosa walilotenda. Ni vigumu kujua huyu anasherehekea au anakunywa pombe na kula nyama choma kwa raha zake. Ni wapi imeandikwa Rais akifa wananchi waache kunywa bia? Kama ukiwakuta baa au nyumbani kwa mmoja wao wamenunua kreti zao 3 na mbuzi wanachoma ukawakama, huko mahakamani utakwenda kusema umewakuta wanasherehekea au wanakula na kunywa?

Wewe ni "Kipeperushi" ndani ya CCM kaa kimya. Nakuona unajitutumua kila mahali tukuone unaijua sana CCM kumbe huna lolote. Mfano huo wa Fatuma na Maria utoshe kukuonesha unavyoshobokea vitu vilivyo juu ya uwezo wako.Hili swali hata mimi ninajiulza au kwa kuwa baba zao walikuwa viongozi ndani ya CCM na serikalini ? makosa wanayoyafanya hayana tofauti na wengine waliopo magerezani.
chadema mpoje sijui yani nawaona kama mmechanganyikiwa.Habari ya kukamatwa huyo mama ni ya kweli maana police wamthibisha kumshikilia. Haileti picha nzuri. Ni vyema akaachiwa.
Bado police wanafanya kazi kwa woga kama ilivyokuwa kabla ya March 17