Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
FB_IMG_1747058357621.jpg
 
View attachment 3331834
Watatajana tu hakuna namna, hakuna Mjinga ataweza kumtetea mwingine when it comes to responsibilities, nasisitiza hakuna aneweza kukubali awajibike kwa ujinga wa mwingine, amini hvyo!!!
 
Lazima wafiche sura maana miaka miwili baadae hali yao ya kiusalama itakuwa mbaya zaidi
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
tunawadharau siyo kwa elimu zao. kwa matendo yao
 
Tii sheria bila shuruti la sivyo mtapigwa tu.
 
Kwani walivyokua wanaonekana sura uliwachukulia hatua gani?
 
Maharamia mashetani yanayoteka watu, sasa yanaona aibu na kuogopa. Itafikia wakati yatajipaka mavi usoni ili yasitambulike.

SIku nikisikia ndugu yangu amkuwa polisi wa Tanzania, itakuwa mwisho wa undugu. Sitaki laana iingie kwenye ukoo wetu.
 
Tulizowea kuona magaidi wakivaa kwa kuficha sura, sasa hawa watanzania wenzetu tusemeje tukiona hivi?
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Mbona mara nyingi huvaa hivyo siwatetei
 
Back
Top Bottom