Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

Usiwafundishe Polisi wavaaje ni hiari yao mbona wako polisi huvaa hijabu na.kufunika nyuso zao zote

Upolisi ni fani waweza vaa chochote hata vazi la kiaskofu au kipadre

Usikariri mleta mada kuwa lazima wavae utakavyo wewe

Na bado kuna siku utawaona wamevaa magwanda na Tshirt za CHADEMA
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Huko siyo kubadili gia bali ni ujinga wa IGP Wambura na ushenzi wa Samia!
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Kuficha sura hakusaidii bali kuacha uchawa na uzwazwa, ukatili na upofu. Maana, japo nao wanawatesa wananchi, nao wanateseka na kunyonywa sawa na hao wanaowatesa kutetea wanaowanyonya wote.
 
Nilikuwa nakuheshimu kama mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali, lakini nimeanza kukudharau kwa sababu mambo ya msingi unaleta utoto, ujinga na ushamba.
Ok, kawaida sana wapi huko kunakofuatwa utawala wa sheria?
Pale Oysterbay afande Shoka Moja na wenzake ndio ulikuwa mvao wao wakienda kwenye operesheni miaka ya 2000

Siyo kosa lako bwashee nimekusamehe bure 😁
 
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
FB_IMG_1747058357621.jpg

Kwa utamaduni wa mfumo wa haki jinai, hukumu za nchi za Commonwealth hutumika kama rejeo :

Chama cha Sheria chapati Ushindi mkubwa katika hukumu ya Mahakama Kuu :
Mahakamani kunaweza kuleta taharuki hivyo kwa kisingizio cha sheria ya 'Preventive Detention' Polisi wanaweza kukuzuia au kukutoa eneo moja na kukutupa pengine

24 Aprili 2025
TOKA KISUTU HADI UNUNIO

View: https://m.youtube.com/watch?v=3sKHvyb5Z28

April 30th, 2025

MAHAKAMA KUU YATOA HUKUMU YA KIHISTORIA

POLISI HAWARUHUSIWI KUFICHA NYUSO ZAO AU KUVAA KININJA WANAPOKWENDA KUTAWANYA MAANDAMANO

Mahakama hiyo pia imeamuru watu walioumizwa na Polisi kulipwa fidia

WAANDAMANAJI 11 wamefidiwa Sh 200, 000 kila mmoja na Mahakama Kuu ya Kenya baada ya polisi kukiuka haki zao wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.

Aidha, mahakama imeamua kuwa maafisa wa polisi wanaopelekwa kudumisha usalama wakati wa mikutano ya hadhara, maandamano au migomo lazima wavalie sare na wasifiche nyuso zao.

“Afisa yeyote anayeteuliwa kuhakikisha sheria na utulivu wakati wa mkutano wa hadhara, maandamano au migomo lazima awe kwenye sare rasmi, na asifiche uso wake kwa njia yoyote ile ili aweze kutambulika,” alisema Jaji Bahati Mwamuye.

Mahakama iliagiza Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuhakikisha kuwa maafisa wote waliotumwa kudhibiti maandamano au kutoa ulinzi kwa waandamanaji hawavai mavazi ya kiraia au kuvaa barakoa.

Maamuzi haya yalitokana na kesi ya Chama cha Wanasheria Kenya (LSK) dhidi ya maafisa wawili wa polisi, Martin Mbae Kithinji na Isaiah Ndumba Murangiri, waliokuwa miongoni mwa waliotumwa kudhibiti maandamano ya Juni 2024.

LSK ilidai kuwa Bw Murangiri ndiye aliyehusika na kifo cha Rex Masai, mmoja wa waandamanaji aliyeripotiwa kupigwa risasi na polisi Juni 18, 2024 katika jiji la Nairobi wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha.

Kulingana na LSK, visa vyote vya mauaji, ukatili wa polisi na unyanyasaji wa waandamanaji vinahusishwa na maafisa wasiovalia sare rasmi.

Mahakama ilisema kuwa kuvaa mavazi ya kiraia kuliwasaidia maafisa wa polisi kujichanganya na waandamanaji waliokuwa na amani.

Serikali iliagizwa kuwalipa waandamanaji — Joy Awich, Muthoni Matu, Kipng’etich Eman, Carolyne Mwikali, Stephen Obunde, Raymond Burgei, Felix Gatobu, Chatherine Njoki Njanja, Tim Kut, Wesley Tome na Imran Kasumba — jumla ya Sh2.2 milioni
 
Mbona mara nyingi huvaa hivyo

Pale Oysterbay afande Shoka Moja na wenzake ndio ulikuwa mvao wao wakienda kwenye operesheni miaka ya 2000

Siyo kosa lako bwashee nimekusamehe bure 😁
Sasa kusindikiza wanasiasa kwenye mikutano ya kisiasa ni operation ya kijeshi ya polisi?
Umeelewa mantiki ya hoja au unabwabwaja tuu!
Ndiomaana tunaambiwa na wajuzi kuwa ukitaka kumuelewa vyema mtu mpe mic azungumze au kalamu aandike
 
Chadema wana historia ya kulipua bomu Soweto, mwenyekiti mstaafu alihusishwa na Ugaidi na hadi sasa yuko kwenye uangalizi na Huyu mwenyekiti mpya Ana kesi ya Uhaini

Sasa Unadhani kwenye mikutano yao police watailinda kama ni mikutano ya TLP?

Uwage unatumia ubongo kufikiri 😂
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Hata hizo nguo tunawaita magaidi wa kipolic Tanzania.
 
IMG-20250513-WA0001.jpg
 
Chadema wana historia ya kulipua bomu Soweto, mwenyekiti mstaafu alihusishwa na Ugaidi na hadi sasa yuko kwenye uangalizi na Huyu mwenyekiti mpya Ana kesi ya Uhaini

Sasa Unadhani kwenye mikutano yao police watailinda kama ni mikutano ya TLP?

Uwage unatumia ubongo kufikiri 😂
Naona unatetea upuuzi wako kwa wivu mkubwa mno
 
Unafanyaje kazi yenye heshima kma hii huku umeficha sura. Haya ni maajabu mengine khe🤭🤭🤭🤭🤭
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Kada Pekee iliyoonywa katika Maandiko na Ndio Pekee Ina hatma mbaya katika maisha Yao mana ni ngumu sana kuishi maonyo hayo:
Luka 3:14, Yohana Mbatizaji aliwaamuru askari kwa kusema:

"Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu kwa nguvu, wala kwa hila, tena ridhikini kwa mshahara wenu."
 
Back
Top Bottom