Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

Chadema wana historia ya kulipua bomu Soweto, mwenyekiti mstaafu alihusishwa na Ugaidi na hadi sasa yuko kwenye uangalizi na Huyu mwenyekiti mpya Ana kesi ya Uhaini

Sasa Unadhani kwenye mikutano yao police watailinda kama ni mikutano ya TLP?

Uwage unatumia ubongo kufikiri 😂
Insanity ni neno Pana sana!
Wengi tunashindwa kulipa tafsiri kamili
 
Insanity ni neno Pana sana!
Wengi tunashindwa kulipa tafsiri kamili
Tena sasa baada ya akina Benson kuingia msituni mikutano yenu italindwa kwa WASHAWASHA na Farasi ili msije kulipuana mkaisingizia CCM
 
Wananchi wazijue tu sheria kwamba askari anapokuja kukukamata lazima namba yake ya uaskari isomeke kifuani mwake pamoja na jina ; aidha sura yake ni lazima uitambue tofauti na hapo usikubali kibwege hao ndio wanakatiliwa na bwana yule kwamba sio wanawe.
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Kazi ya tabu sana hii. Imagine DSM na jasho lote. Bila shaka wanalipwa vizuri kufidia adha hizi.

Kwa jambazi kuvaa hivi huenda akaingiza pesa ndefu akifanikisha mission. Sasa kwa kazi ya mshahara na posho za kinyonge Tz sijui hamasa inatokea wapi.
 
POLISI HAWARUHUSIWI KUFICHA NYUSO ZAO AU KUVAA KININJA WANAPOKWENDA KUTAWANYA MAANDAMANO

Mahakama hiyo pia imeamuru watu walioumizwa na Polisi kulipwa fidia

WAANDAMANAJI 11 wamefidiwa Sh 200, 000 kila mmoja na Mahakama Kuu ya Kenya baada ya polisi kukiuka haki zao wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.

Matunda ya katiba mpya Kenya yazidi kuonekana :

09 Julai 2025
Nairobi, Kenya

Mahakama yawazuia maafisa wa polisi kufunga barabara wakati wa maandamano​


View: https://m.youtube.com/watch?v=TDAyLDlESUg

Mahakama kuu jijini Nairobi imemzuia inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja na maafisa wa polisi kufunga barabara za kuingia katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano ya amani.

Akitoa uamuzi huo, Jaji Lawrence Mugambi aliwaagiza maafisa wa polisi kukoma kuweka vizuizi hivyo akitaja hatua hiyo kuwa sawa na kuzuia haki ya kukusanyika kwa amani na uhuru wa kutembea kama ilivyobainishwa katika Katiba.
 
Back
Top Bottom