Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Nchi inapokuwa imefanyiwa STATE CAPTURE tena ya Raia wa kigeni wanao jidai watanzania ni jeshi tu linaloweza kukomesha kwa haraka huo uchafu ...vinginevyo damu nyingi sana itamwagika ni hatari kuwapa uongozi waislamu ni wapumbavu sana kwao uzalendo ni mavi na mzalendo ni adui
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Wanazidi kudhirisha nia zao ovu,tunajua kuwa majambazi na magaidi ndiyo huficha sura zao,sasa tunao majambazi na magaidi wanaovaa uniform.
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Magaidi.
 
Ukiwaona wanavyojifutua futua huko kwenye magari yao utasema sio wao wanaokuja kukopa unga kwenye vibanda vyetu
 
Hawa Tunao tu mpaka 90 ....Dunia kiberiti hata uzame kwenye HANDAKI !!!
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Majambazi hawa
 
Ninja 🥷

Kawaida sana hiyo 😁
Nilikuwa nakuheshimu kama mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali, lakini nimeanza kukudharau kwa sababu mambo ya msingi unaleta utoto, ujinga na ushamba.
Ok, kawaida sana wapi huko kunakofuatwa utawala wa sheria?
 
Safi sana Polisi
Hawana tofauti na Hamas au Hezbollah. Hao siyo police ni magaidi

Nipe tofauti yao na hawa
images (4).jpeg
images (3).jpeg
images (5).jpeg
 
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.

Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.

Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.

Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.

Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
mbona sasa wanafanana na HAMAS, kwanini wamechagua kinyago cha aina hiyo?
 
Back
Top Bottom