Huko siyo kubadili gia bali ni ujinga wa IGP Wambura na ushenzi wa Samia!Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.
Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.
Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Ulimloga siyo?Nenda Dom uliza afande mpelelezi anaitwa Cleophas, kilimtokea nini baada ya dhuluma za muda mrmrefu.
😀😀sikuwa nataka kucomment lakini imebidi tuNinja 🥷
Kawaida sana hiyo 😁
DuuhNenda Dom uliza afande mpelelezi anaitwa Cleophas, kilimtokea nini baada ya dhuluma za muda mrefu.
Kuficha sura hakusaidii bali kuacha uchawa na uzwazwa, ukatili na upofu. Maana, japo nao wanawatesa wananchi, nao wanateseka na kunyonywa sawa na hao wanaowatesa kutetea wanaowanyonya wote.Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.
Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.
Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Nenda kaulize.Ulimloga siyo?
Pale Oysterbay afande Shoka Moja na wenzake ndio ulikuwa mvao wao wakienda kwenye operesheni miaka ya 2000Nilikuwa nakuheshimu kama mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali, lakini nimeanza kukudharau kwa sababu mambo ya msingi unaleta utoto, ujinga na ushamba.
Ok, kawaida sana wapi huko kunakofuatwa utawala wa sheria?
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
Mahakamani kunaweza kuleta taharuki hivyo kwa kisingizio cha sheria ya 'Preventive Detention' Polisi wanaweza kukuzuia au kukutoa eneo moja na kukutupa pengine
24 Aprili 2025
TOKA KISUTU HADI UNUNIO
View: https://m.youtube.com/watch?v=3sKHvyb5Z28
Sina muda wa kuuliza eleza ulimfanya niniNenda kaulize.
Mbona mara nyingi huvaa hivyo
Sasa kusindikiza wanasiasa kwenye mikutano ya kisiasa ni operation ya kijeshi ya polisi?Pale Oysterbay afande Shoka Moja na wenzake ndio ulikuwa mvao wao wakienda kwenye operesheni miaka ya 2000
Siyo kosa lako bwashee nimekusamehe bure 😁
Chadema wana historia ya kulipua bomu Soweto, mwenyekiti mstaafu alihusishwa na Ugaidi na hadi sasa yuko kwenye uangalizi na Huyu mwenyekiti mpya Ana kesi ya UhainiSasa kusindikiza wanasiasa kwenye mikutano ya kisiasa ni operation ya kijeshi ya polisi?
Umeelewa mantiki ya hoja au unabwabwaja tuu!
Ndiomaana tunaambiwa na wajuzi kuwa ukitaka kumuelewa vyema mtu mpe mic azungumze au kalamu aandike
Hata hizo nguo tunawaita magaidi wa kipolic Tanzania.Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.
Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.
Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.
Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.
Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
Naona unatetea upuuzi wako kwa wivu mkubwa mnoChadema wana historia ya kulipua bomu Soweto, mwenyekiti mstaafu alihusishwa na Ugaidi na hadi sasa yuko kwenye uangalizi na Huyu mwenyekiti mpya Ana kesi ya Uhaini
Sasa Unadhani kwenye mikutano yao police watailinda kama ni mikutano ya TLP?
Uwage unatumia ubongo kufikiri 😂
Kwanini wasifunguliwe kesi ili mahakama itoe tafsiri ya dress code? Kwenye haka kakisiwa ka kusadikika sisi mburula wa sheria tunalalamikanna wanaojua sheria nao wanalalamika. Huku nako ni kukosa muelekeo🤔🤔
Kada Pekee iliyoonywa katika Maandiko na Ndio Pekee Ina hatma mbaya katika maisha Yao mana ni ngumu sana kuishi maonyo hayo:Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.
Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.
Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
"Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu kwa nguvu, wala kwa hila, tena ridhikini kwa mshahara wenu."
Nimemkumbusha tu bwashee Chakaza😁Naona unatetea upuuzi wako kwa wivu mkubwa mno