Insanity ni neno Pana sana!Chadema wana historia ya kulipua bomu Soweto, mwenyekiti mstaafu alihusishwa na Ugaidi na hadi sasa yuko kwenye uangalizi na Huyu mwenyekiti mpya Ana kesi ya Uhaini
Sasa Unadhani kwenye mikutano yao police watailinda kama ni mikutano ya TLP?
Uwage unatumia ubongo kufikiri 😂
Tena sasa baada ya akina Benson kuingia msituni mikutano yenu italindwa kwa WASHAWASHA na Farasi ili msije kulipuana mkaisingizia CCMInsanity ni neno Pana sana!
Wengi tunashindwa kulipa tafsiri kamili
Labda Katiba ikibadilishwa.Kuna siku wataachana na uonevu. Tuamini hivyo
Kazi ya tabu sana hii. Imagine DSM na jasho lote. Bila shaka wanalipwa vizuri kufidia adha hizi.Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA.
Mbali na Polisi kufanya maovu halafu wakubwa wao wanawakingia kifua, sasa wanaficha Sura ili hata ukienda kuwashitaki mahakamani ushindwe kuwatambua Sura.
Nguo za Polisi tu ndo zinawafanya wasiitwe Magaidi, lakini ukiacha sare za Polisi, Mavazi mengine na roho ni ya kigaidi kabisa.
Wakoshavaa hivi sanaanza kutukong'ota virungu vya ugoko.
View attachment 3331834
POLISI HAWARUHUSIWI KUFICHA NYUSO ZAO AU KUVAA KININJA WANAPOKWENDA KUTAWANYA MAANDAMANO
Mahakama hiyo pia imeamuru watu walioumizwa na Polisi kulipwa fidia
WAANDAMANAJI 11 wamefidiwa Sh 200, 000 kila mmoja na Mahakama Kuu ya Kenya baada ya polisi kukiuka haki zao wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.