Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.

Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.

Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika kweli kwa Wananchi Polisi, TISS na JWTZ waliungana na CCM kunajisi mfumo wa uchaguzi ili kufanya CCM watawale kwa manguvu kinyume na matakwa ya Wananchi.

Leo hii miaka zaidi ya 60 ya uhuru, sehemu kubwa ya nchi kuna mgao wa maji ikiwemo jiji kubwa la biashara Dar es Salaam. Mgao huu unatokea kwenye nchi ambayo ina maziwa na bahari wakati kwenye Mataifa yaliyo jangwani kama Israel na Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu huwezi kusikia hata siku moja kukiwa na mgao wa maji.

Sasa leo tunawauliza nyie mnaowalinda hao madhalimu wanaotuteka, kutuua, kutupoteza ili watutawale kwa nguvu vipi hii kadhia ya maji inayotupata sisi Wananchi haiwapati nyie na ndugu zenu?
 
Tuzidi kumwomba Mungu Mvua zinyeshe mto Ruvu ujae! Lakini kwa habari ya hayo mengine tulishakubali!
 
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.

Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.

Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika kweli kwa Wananchi Polisi, TISS na JWTZ waliungana na CCM kunajisi mfumo wa uchaguzi ili kufanya CCM watawale kwa manguvu kinyume na matakwa ya Wananchi.

Leo hii miaka zaidi ya 60 ya uhuru, sehemu kubwa ya nchi kuna mgao wa maji ikiwemo jiji kubwa la biashara Dar es Salaam. Mgao huu unatokea kwenye nchi ambayo ina maziwa na bahari wakati kwenye Mataifa yaliyo jangwani kama Israel na Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu huwezi kusikia hata siku moja kukiwa na mgao wa maji.

Sasa leo tunawauliza nyie mnaowalinda hao madhalimu wanaotuteka, kutuua, kutupoteza ili watutawale kwa nguvu vipi hii kadhia ya maji inayotupata sisi Wananchi haiwapati nyie na ndugu zenu?
Watadai wana visima na matanki ya kuhifadhi maji makubwa!
Kumbuka wao wako tayari kututeka, kututesa, kutuuwa, kutubaka ili waishi MAISHA YA KIFAHARI!
TUKILALAMIKA WANADAI HATUPENDI AMANI NA UTULIVU!
 
Kuna kitu kimoja haujui. Hao maji huwa hayakosekani.Niliwahi kuishi kwa waziri.Yaani kuna matank haya ma simtank yameunganishwa moters yanapump maji moja kwa moja ndani.Na maloli ya maji yanaleta al most kila baada ya siku mbili matank ya ma lita maelfu yanajazwa. Kule hakuna shida ya maji.
 
Kwani wote wanaishi makambini? Ndugu zao wote wanaishi makambini? Wazazi wao nao wote wanaishi makambini?
 
Kuna kitu kimoja haujui. Hao maji huwa hayakosekani.Niliwahi kuishi kwa waziri.Yaani kuna matank haya ma simtank yameunganishwa moters yanapump maji moja kwa moja ndani.Na maloli ya maji yanaleta al most kila baada ya siku mbili matank ya ma lita maelfu yanajazwa. Kule hakuna shida ya maji.
Ndugu zao je?

Halafu hapo umeongelea wale top officials, vipi hawa kuruta wenzetu wanaosimama kwenye hizi roundabouts wakichomwa jua kulinda "amani" nao wana maji kwenye matank yao?
 
Back
Top Bottom