Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

Kuna kitu kimoja haujui. Hao maji huwa hayakosekani.Niliwahi kuishi kwa waziri.Yaani kuna matank haya ma simtank yameunganishwa moters yanapump maji moja kwa moja ndani.Na maloli ya maji yanaleta al most kila baada ya siku mbili matank ya ma lita maelfu yanajazwa. Kule hakuna shida ya maji.
Sasa umesema ni Waziri, huyu anasemea hao police na JW.
 
Ndugu zao je?

Halafu hapo umeongelea wale top officials, vipi hawa kuruta wenzetu wanaosimama kwenye hizi roundabouts wakichomwa jua kulinda "amani" nao wana maji kwenye matank yao?
Wale wanaoishi makambini hakuna shida za maji .Labda waliopanga mitaani.
 
Maji.mbona tunayo na kila siku yanatoka bombani!!
 
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.

Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.

Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika kweli kwa Wananchi Polisi, TISS na JWTZ waliungana na CCM kunajisi mfumo wa uchaguzi ili kufanya CCM watawale kwa manguvu kinyume na matakwa ya Wananchi.

Leo hii miaka zaidi ya 60 ya uhuru, sehemu kubwa ya nchi kuna mgao wa maji ikiwemo jiji kubwa la biashara Dar es Salaam. Mgao huu unatokea kwenye nchi ambayo ina maziwa na bahari wakati kwenye Mataifa yaliyo jangwani kama Israel na Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu huwezi kusikia hata siku moja kukiwa na mgao wa maji.

Sasa leo tunawauliza nyie mnaowalinda hao madhalimu wanaotuteka, kutuua, kutupoteza ili watutawale kwa nguvu vipi hii kadhia ya maji inayotupata sisi Wananchi haiwapati nyie na ndugu zenu?
tafuta hela dar maji ni mengi mno
 
Hawakuwa wanamlinda yeye, walikuwa wanalinda vipato vyao
 
Mimi sio kati ya hayo Makundi yote, ila napata Maji at least twice/week masaa mpaka 8, na tank na Pump Sina shida ya maji kabisa!
 
Back
Top Bottom