Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

Labda hao wengine lakini polisi kwa vile viota vyao ful sut mabati juu mpaka chini wanahitaji maji ya nini?
Halafu nimegundua polisi wengi wananuka midomo na hawatumii maji baada ya kujisaidia, huwa wanatumia magazeti.
 
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.

Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.

Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika kweli kwa Wananchi Polisi, TISS na JWTZ waliungana na CCM kunajisi mfumo wa uchaguzi ili kufanya CCM watawale kwa manguvu kinyume na matakwa ya Wananchi.

Leo hii miaka zaidi ya 60 ya uhuru, sehemu kubwa ya nchi kuna mgao wa maji ikiwemo jiji kubwa la biashara Dar es Salaam. Mgao huu unatokea kwenye nchi ambayo ina maziwa na bahari wakati kwenye Mataifa yaliyo jangwani kama Israel na Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu huwezi kusikia hata siku moja kukiwa na mgao wa maji.

Sasa leo tunawauliza nyie mnaowalinda hao madhalimu wanaotuteka, kutuua, kutupoteza ili watutawale kwa nguvu vipi hii kadhia ya maji inayotupata sisi Wananchi haiwapati nyie na ndugu zenu?
Amani ni Bora kuliko maji acha tulinde amani kwanza
 
Matako yao hawa wote, hakuna maji hata tone labda mikojo. Vyumba vidogo vinanuka mavi.....
 
Wanasema wataoga mvua zikianza kunyesha Sasa hivi wanatawaza na mawe ingawa wananuka mavi
 
Halafu nimegundua polisi wengi wananuka midomo na hawatumii maji baada ya kujisaidia, huwa wanatumia magazeti.
Nilikutana na polisi ananuka domo mpaka nikataka kuzimia.

Halafu ananiongelesha puaniii woooh mama weeeeeehhh tumbo langu lilivurugika nikahisi moyo unaenda mbio kama kitenesi... 🙉🙉

Cc: Thesonboy
 
Bichwa komwe acha ujinga wako kwenye jukwaa. Watoto wetu wanapita. Usenge wako kaa nao wewe binafsi. Usipromote hapa nobody is interested kwenye uhuni wenu.
 
Hao ndio vichaa wa awamu ya 6 bana,wana vichaa vikali sana
 
Back
Top Bottom