mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Wewe ndio hujamuelewa comment yake alichokimaanisha.Hebu rudia kusoma. Unaelewa ulichoandika?
Amemaanisha hili tukio halihusiani kabisa na siasa kuna jambo lingine tofauti la kibinafsi tu ambalo ndio linahusika na ule utekaji uliotaka kutokea,ingekuwa ni wasiojulikana professional hawakamatiki kiurahisi ndicho jamaa alichokimaanisha.