issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Wanatolewa kafara tu ila naamini hamna kesi hapo..Jamaa ulitegemea hao watu wawe wametokea mbinguni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatolewa kafara tu ila naamini hamna kesi hapo..Jamaa ulitegemea hao watu wawe wametokea mbinguni?
Kwao na Mabukusi na mdude ChademaNaona akina Mwaisa wakutosha apo kwene mkeka
Halafu wengi wao ni kutokea Mbeya kwa kina Mwamposa na Bahati Bukuku.Watu wanane wamekatwa;
Bahati Tweve
Yusuf Abdallah
Frederick Juma
Nelson Eli Musa
Frank Daniel Mwakelebela
Thomas Ephraim
Anita Temba
Isaac Mwaifani.
Tukio la Kilivya,Kibaha
Kimara, Mbezi .... stronghold ya CHADEMAHalafu wengi wao ni kutokea Mbeya kwa kina Mwamposa na Bahati Bukuku.
Mmeumbuka- si mlisema ni polisiWanatolewa kafara tu ila naamini hamna kesi hapo..
Sawa kama kawaida yenu Chama cha Mambuzi (CCM) mambo yenu uongo huwa ukweli na ukweli huwa uongo.Kimara, Mbezi .... stronghold ya CHADEMA
Hapo kuna mwenye tukio lake (obviously huyo someone Temba mwanamke) ambae alikuwa na conflicts anazozijua yeye na mtekwaji halafu kuna aliyepewa kazi ya kutafuta watekaji nae akaona ampe atakayekuwa na watu nje ya mkoa ili tukio likizungumzwa kwa picha ya wasiojulikana liwe rahisi kueleweka.Kwenye video walikuwa wangapi ? Naona kama idadi imezidi🐼
Wala hawafanani na wale watekaji wa siku ile, bado mnatumia njia za hadaa kiwango hiki?Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri...
Pingu ni kifaa tu kaka, kwa wahalifu hata funguo zake wanazo, relaaax. Kukataa kila kitu bila kikielewa ni dalili nyingine ya usonji😄😄Jerry muro pingu alipata wapi?
Drama at its highest stage
Jeshi hili hili la polisi yaani tuanze kuliamini??
Hebu rudia kusoma. Unaelewa ulichoandika?Kuna kitu katika huu utekaji!
Siamini polisi wanaweza kufanya vitu kizembezembe hivi!
Walitumwa kumtemesha helaTunashukuru kwa taarifa sasa tuwaone kwa pilato ili kufahamu nini kiliwapelekea kumteka mwenzako
Ila mbona wengine shughuli zao zimetajwa nimeona bondia, dereva tax ila wengine shughuli zimefichwa kwanini!?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri.
Tarehe 11 Novemba, 2024 eneo la Kiluvya Ubungo Dar es Salaam lilitokea tukio la kutekwa kwa Bw. Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani. Kufuatia tukio hilo na mengine ya nyuma Polisi Dar es salaam imekuwa ikiendelea kuchunguza na kufuatilia taarifa mbalimbali pia kukusanya ushahidi wa kisheria kuhusiana na matukio hayo ili kuyazuia.
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imefanikiwa kukamata kundi la wahalifu wanane wanaotuhumiwa kula njama kwa pamoja na baadae kufanya tukio la kumteka Deogratius Tarimo. Wat uhumiwa hao wamekamatwa kwa nyakati tofauti Dar es salaam, Songea Ruvuma na eneo la Mbingu Mlimba Morogoro. Pia lilipatikana gari aina ya Toyota Raum ambayo ilitumiwa wakati wa tukio hilo huku ikitumia namba isiyo halisi T 237 EGE na baada ufuatiliaji namba halisi ya gari hiyo ni T237 ECF.
Watuhumiwa hao ni :-
1. Bato Bahati Tweve, Bondia, Miaka 32, Mkazi wa Kimara Bunyokwa na Songwe Mbozi
II. Yusuph Abdallah, Miaka 32, Mkazi wa Mbingu - Mlimba Morogoro
III. Fredrick Juma, Miaka 31, Mkazi wa Kibamba
IV. Nelson Elimusa msela, Dereva Tax, Miaka 24, Mkazi wa Mbezi Luguluni
V. Benk Daniel Mwakalebela@tall, Miaka 40, Mkazi wa Mbezi Makabe na Kyela Ipinda
Rusungo Mbeya
VI. Thomas Ephraim Mwakagile @ baba mage Bunyokwa na Kyela Ngonga Ndiali Mbeya Miaka 45, Mkazi wa Kinyerezi
VII. Anitha Alfred Temba, Miaka 27, Mkazi wa Mbezi Mwisho.
VIII. Isack Mwaifani, @ boxer, Mkazi wa Kimara Tembo Salanga na Bujonde Isanga Kyela Mbeya
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu lakini pia kuwakamata na kutokuwa na huruma kwa watuhumiwa wote wanaojihusisha na matukio ya kihalifu ikiwa ni pamoja na kuwashughulikia kwa mujibu wa sheria kwa kuwapeleka kwenye mamlaka zingine za haki.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuendelea kutoa taarifa za kweli ili Jeshi lichukuwe hatua za kisheria kwa watu wanaopanga kufanya matukio ya kihalifu ili washughulikiwe mapema kabla ya matukio.
Imetolewa na;
Muliro J. Muliro -SACP
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam
www.polisi.go.tz
www.twitter.com/tanpol
Mbona wajihi ya waliokuwa eneo la tukio haufanani na waliokamatwa?

Mbona wapo yule kijana mweupe ujamuona hapo kwenye video?Mbona katika hao waliokamatwa sioni hata sura moja ya wale waliokuwa kwenye ile video?
Mbona wanaonekana vizuri tu wamekamatwa?Mbona wajihi ya waliokuwa eneo la tukio haufanani na waliokamatwa?
View attachment 3168983
View attachment 3168985
Ukienda duka la Tanganyika Arm zinapatikana mkuu hata silaha zinauzwa hapo.Jerry muro pingu alipata wapi?
Drama at its highest stage
Jeshi hili hili la polisi yaani tuanze kuliamini??
sasa wewe pingu unadhani ni kitu kigumu kukipata, wakati huko dark market kilakitu haramu kinauzwa.Na watueleze pingu walizipata wapi?