Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

Wamesomba cabinet nzima 😁😁
Wameokotwa kama kumbikumbi.

Unakamata mmoja au wawili.. Kisha hao wawili wanataja wenzao.. Kazi ya kuwa traki inaanza... Pakiwa pagumu .. Simu ya walio kamatwa inatumika kuwaita wenzakw kwenye dili... Unafika tu u akutana na magwanda ya askari kanzu
 
Taarifa si imesema wengine'walikula njama'.
Mfano Anitha Alfred Temba, miaka 27. Yaani binti wa miaka 27 ameshakula njama' za tukio la kibabe. Duh! Mjini chuo.

Kutekana ni drama.
Mtoto wa Kichaga huyo anazingatia maokoto
 
Baada ya jeshi la polisi kukamata watu waliohusika katika jaribio la kumteka Mr.Tarimo,wameonekana watu 8 ,mimi nimewagundua wawili,kale kanjemba kafupi na yule pank alikuwa buti.

Katika mtandao wa Instagram kwa acc ya ya Millard kuna mdau amechangia kwa kusema “Jamani mbona huyo mfupi na mfahamu ni askari wa Gogoni anaitwa Fredy”,akaendelea kwa kusema “ kwamba namfahamu na namba zake ninazo “.

Kulanina Gogoni? Chakula ni kitamu ila kikisha toka tumboni hunuka
 

Attachments

  • E90EB719-1161-4FAF-B21E-FF8B944BDD66.png
    E90EB719-1161-4FAF-B21E-FF8B944BDD66.png
    1.2 MB · Views: 3
  • 096F74B7-7F74-4825-8F2E-8701D80869FD.png
    096F74B7-7F74-4825-8F2E-8701D80869FD.png
    1.1 MB · Views: 1
hao wanyakyusa wanatakiwa wabanwe vizuri wataje genge lao wote .

waseme na wakina soka wako wapi
 
Back
Top Bottom