mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Wewe ndio hujamuelewa comment yake alichokimaanisha.Hebu rudia kusoma. Unaelewa ulichoandika?
Unadhani kwa nini walikuwa recorded kirahisi vile, stable recording mbona mzee Kibao aliyeshushwa kwenye basi huku abiria wamejaa hakuna clips za tukio zima kama za hao waliojaribu kumteka Bonge.Kuna mtu alisema kuwa lile jaribio ni mchongo ili kubalance story.
Naanza kuziona dalili hizo.
Yupo sahihi sema kwenye taarifa yao hawajaweka kazi yake wameweka jina tu.Baada ya jeshi la polisi kukamata watu waliohusika katika jaribio la kumteka Mr.Tarimo,wameonekana watu 8 ,mimi nimewagundua wawili,kale kanjemba kafupi na yule pank alikuwa buti.
Katika mtandao wa Instagram kwa acc ya ya Millard kuna mdau amechangia kwa kusema “Jamani mbona huyo mfupi na mfahamu ni askari wa Gogoni anaitwa Fredy”,akaendelea kwa kusema “ kwamba namfahamu na namba zake ninazo “.
Kulanina Gogoni? Chakula ni kitamu ila kikisha toka tumboni hunuka
Kuna kina wachaga pia nao wabanwe mpaka wataje wenzaohao wanyakyusa wanatakiwa wabanwe vizuri wataje genge lao wote .
waseme na wakina soka wako wapi
Professionals ukishakamata mmoja wengine hauwapati, the best way huwa ni kufanya tracing ya kujua kila mmoja alipo then wate wanakamatwa kwa wakati mmoja.Wameokotwa kama kumbikumbi.
Unakamata mmoja au wawili.. Kisha hao wawili wanataja wenzao.. Kazi ya kuwa traki inaanza... Pakiwa pagumu .. Simu ya walio kamatwa inatumika kuwaita wenzakw kwenye dili... Unafika tu u akutana na magwanda ya askari kanzu
Sasa wewe uliona pale kuna professionals? Watu wana park gari mbele ya CCTV? inamaana hawaku study hata mazingira kabla?Professionals ukishakamata mmoja wengine hauwapati, the best way huwa ni kufanya tracing ya kujua kila mmoja alipo then wate wanakamatwa kwa wakati mmoja.
Moja nimeitambua: yule white mfupi alivaa t-shirt nyeusi siku ya tukio. Alikuwa kwa ndani ya gari akimvuta TarimoMbona katika hao waliokamatwa sioni hata sura moja ya wale waliokuwa kwenye ile video?
Basi tuwapongeze hawa askari.Moja nimeitambua: yule white mfupi alivaa t-shirt nyeusi siku ya tukio. Alikuwa kwa ndani ya gari akimvuta Tarimo
una video zake au picha!Moja nimeitambua: yule white mfupi alivaa t-shirt nyeusi siku ya tukio. Alikuwa kwa ndani ya gari akimvuta Tarimo