DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ilipaswa mtafute haki kabla ya maziko kwa kuomba kisheria ifanyike post mortem.

Kwa cheo cha huyo polisi ni kidogo mno kuweza kuwa na mabavu ya kuweza kuzuia chochote endapo mngeenda kisheria mapema. Kwa sasa bila ya ithibati ya mwili wa marehemu itakuwa ngumu sana kudhihirisha chochote.

Wazazi tunapaswa kuwafunza binti zetu kuwa ni sawa kurudi nyumbani pale ndoa inapokuwa na mateso. Nyumba nyingine inakuwa binti akishaolewa basi ndio hapaswi kurudi tena kama kafukuzwa.
 
Wanatishwa na Koplo!
 
Hata kama angekuwa na Cheo kikubwa kama cha IGP, endapo kama wangekuwa serious na wangeibua suala hili mapema kabla marehemu hajazikwa basi uchunguzi wa kina ungefanyika tu bila ya kujali cheo alichonacho mtuhumiwa. Kosa limefanywa na hao wanandugu wa marehemu. Hawataweza kusaidika tena kwa lolote kwa hatua hii ilipofikia.
 
ok
 
Kama hauna uchungu simama nafasi ya mwenzio
 
Points za essay huwa ziko kwenye hitimisho, hiyo para yako ya mwisho imekupa medani.
 
Mh asee mletaada na familia yako mmekaa kifala sana na huyo dogo aliona mnamuogopa ndipo akaamua kuendesha
 
Toka tarehe 23/1/023 ndio unaileta Leo kulikoni mkuu!!
 
Haki bado inaweza kupatikana, kesi bado mbichi hii lakini kwa unyonge huu inaonesha mtoa mada na familia hamuwezi kuendesha kesi yaani financially hampo vizuri na ndicho kilichowashinda toka mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…