nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Kusali au kutokusali kunahusiana nini na kuandamana?Sijui ni ibilisi sijui ni elimu ndogo au nikuiteje labda nikuulize ijumaa unaswali au jumapili na jumamosi unasali?
Nyie mnasali ndiyo wanafiki na washenzi mnaoharibu jamii za kiafrika kwa kuiga mila zisizo zenu.
Tafuta asili yako na mila zake ukiwa huru utajielewa