Polisi wa Tanzania chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan

Polisi wa Tanzania chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan

Tatizo mnakalili maandiko ni wapi katiba imesema mtu akijisikia kuandamana aandamane tu?
 
Sasa kama hayajitaji ruhusa nenda kaandamane aachiwe basi.

Unajua usijione uko sahihi kwa maneno yasiyo na vitendo juha na mjuaji unadhani utajiweka pembeni kwa lipi?
Nakuapi bora ya juha umdhaniaye kuliko wewe mbafiki usiye na msaada kwa unayesema anaonewa

Unanini cha kumsaidia zaidi ya umalaya tu humu unaoleta?
Narudia kwa Mara ya mwisho, naongea kiswahili, Maandamano hayahitaji ruhusa, maandamano ni haki yako kikatiba ila kutokana na ushenzi wa serikali yako na CCM njaa ndio mnajifanya miungu watu. Endelea kutokwa povu tu! Karibu
 
Wewe unareference yoyote au kifungu kinachompa uhalali wa kuandamana au unaleta upepo tu kwa kuwa unabando?

Ndio nakuambia hana kosa.

Wewe unayesema kakosa thibitisha makosa yake, kama huwezi acha kurusha ujinga.
 
Samia muuaji kama anaruhusu askali wanaficha nyuso wanavulembaa vya alquida na mibunduki ya kivita anaruhusu askari ananyonga mwananchi kwa boot kumkanyaga shingoni hafai anapaswa aondoke sasa maana punde nchi imeshaingia kwenye lindi la damu tukatae hii kabisa
 
Tatizo mnakalili maandiko ni wapi katiba imesema mtu akijisikia kuandamana aandamane tu?
Sijajua hata umri wako au huenda nabishana na MTU asiyejua kitu au anayejua ila anafanya makusudi, tufanye umeshinda!
 
Aise kumbe wewe ni mjinga kweli yaani mtu aje kukuthibitishia humu kisheria?
Kafungue jesi aje mahakamani mzee acha ubishi wa kumezeshwa
 
Tena mama ndo alonikanya nisifuate mkumbo. Yaani wewe unaambiwa ingia barabarani na Lisu,yupo Ubelgiji,Lema,yupo Canada,Maria Sarungi yupo sijui wapi.

Then unaingia road,kwanini wasikuue tu kiishe?
Maana kichwani hakuna kitu,ni empty. Yaani unaenda kuwajambisha polisi?
Nisiwepo aisee,mi nacheza na magoti,kifua na kichwa,nakuachia ulemavu wa kudumu,maumivu ya kudumu au nakupa makao mampya. Nukta.
Pohamba umrjidhalilisha kusapoti comment ya kijima kama hii.
 
Kosa lake ndiyo sababu ya yeye kua alipo. Hapo huelewi nini.
By the way huna hoja. Naona ushapanic. Kuwa na Sabato njema.

Kosa la mtu, huongozwa na sheria. Sheria sio mtazamo. Ni taaluma na sheria zimetungwa na bunge zipo.
...


Weka kifungu kitakachothibitisha kosa lake.
 
Samia muuaji kama anaruhusu askali wanaficha nyuso wanavulembaa vya alquida na mibunduki ya kivita anaruhusu askari ananyonga mwananchi kwa boot kumkanyaga shingoni hafai anapaswa aondoke sasa maana punde nchi imeshaingia kwenye lindi la famu tukatae hii kabisa
Hivi kama siyo ujinga tu wa kushadadia mambo,huyu mtu kakanyagwa kweli?
Sijui kwanini mko hivyo!!
JamiiForums-1265824892.jpg
 
Narudia kwa Mara ya mwisho, naongea kiswahili, Maandamano hayahitaji ruhusa, maandamano ni haki yako kikatiba ila kutokana na ushenzi wa serikali yako na CCM njaa ndio mnajifanya miungu watu. Endelea kutokwa povu tu! Karibu
Kama maandamano ni ruksa na njia yenu halali ya kudai haki nendeni kituo cha polisi mkaandamane aachiwe.

Unajua hakuna kitu kibaya kama kulazimisha watu wakuone uko sahihi ni vyema watu ndiyo wakulazimishe wewe kuwa uko sahihi.

Huwezi kuelewa kuwa hauko sahihi kwani unalazimisha
 
Kosa la mtu, huongozwa na sheria. Sheria sio mtazamo. Ni taaluma na sheria zimetungwa na bunge zipo.
...


Weka kifungu kitakachothibitisha kosa lake.
Jibu la mjinga ni kukaa kimya.
Sasa wewe andamana tukuoneshe ngoma inavyochezwa.
 
Kosa la mtu, huongozwa na sheria. Sheria sio mtazamo. Ni taaluma na sheria zimetungwa na bunge zipo.
...


Weka kifungu kitakachothibitisha kosa lake.
Nenda kajoji polisi wakupe hicho kifungu na sheria na utakuwa umeutetea umma.

Mijitu mingine bwana inajifanya kujua haki na sheria wakati ktk familia zao hayawajibiki na yanachopigia kelele humu
 
Watanzania wengi bado elimu haijawakomboa,wanaona huko alichofanyiwa jamaa ni sahihi kabisa kisa kaandamana,sijui shule walienda somea ujinga,mswahili anamtesa mswahili mwenzake ambae kesho watakutana,sokoni,ndani ya daladala,msibani,harusini,na kwingineko,Mimi wakati nasoma chuo Cha ualimu Fulani,tuligombana na kiranja wa chakula akaninyima msosi,nikamaindi Sana ,baada ya kumalizia na kubadilisha field kwa hasira,one day,tukakutana akaja kwa uncle wangu mmoja tandika kaletwa na dalali anataka chumba.mamaeeee,nilikwambia uncle usimpe chumba huyo jambazi.😃😃😃😃 Ubaya Ubaya tu mamaeee😠😠😠😠
 
Back
Top Bottom