CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Hiyo ni roho mbaya yako tu. Watu tumeumbiwa na kutakiwa kusamehe.Watanzania wengi bado elimu haijawakomboa,wanaona huko alichofanyiwa jamaa ni sahihi kabisa kisa kaandamana,sijui shule walienda somea ujinga,mswahili anamtesa mswahili mwenzake ambae kesho watakutana,sokoni,ndani ya daladala,msibani,harusini,na kwingineko,Mimi wakati nasoma chuo Cha ualimu Fulani,tuligombana na kiranja wa chakula akaninyima msosi,nikamaindi Sana ,baada ya kumalizia na kubadilisha field kwa hasira,one day,tukakutana akaja kwa uncle wangu mmoja tandika kaletwa na dalali anataka chumba.mamaeeee,nilikwambia uncle usimpe chumba huyo jambazi.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Ubaya Ubaya tu mamaeee[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Kuhusu huyo bwana,hapo yupo kwenye mikono salama.
Hajakanyagwa kama watu walivyotaka kutuaminisha.
Ukiangalia vizuri mguu wa mwenye truck nyekundu upo chini jamaa kaulalia.
Huyo mwingine mguu kakanya spear tairi.
Na hiyo picha naitafuta full nitaituma hapa,uone ni jinsi gani watu wanalipuka bila kuelewa. Wengine mapo ya kuchamua picha ni taaluma zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app