nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Kusali au kutokusali kunahusiana nini na kuandamana?Sijui ni ibilisi sijui ni elimu ndogo au nikuiteje labda nikuulize ijumaa unaswali au jumapili na jumamosi unasali?
Siyo kila kuandamana ni ruksa jiongeze!!!Kuandamana ni dhambi? Unajua Katiba inasemaje? Poor Tanzanians
Maandamano hayahitaji ruhusa acha ujuha na kujitia ujuaji wewe mburula. Duh sorry Leo ni Sabato kumbeSiyo kila kuandamana ni ruksa jiongeze!!!
Walitumwa kuandamana!!
Hayo ndiyo malipo.
Siyo kila kuandamana ni ruksa jiongeze!!!
Katiba ipi sasa?Usijione bora, kwasababu tu kichwani umejaza ujinga. Ukidhani upo salama
Haki yao ipo ndani ya katiba.
Mwenzako musiba unaelewa ujinga unahasara zake.
Watch your back
Katiba ipi sasa?
Hiyo mpya mnayoitaka au hii msiyoitambua!?
Umeambiwa usiandamane,ukakaidi,hayo ndiyo malipo. Na hapo huo mguu ulitakiwa kukanyaga koromeo. Japo hapo inaonekana kijana kalalia mguu ila mmeshadadia kanakwamba kakanyagwa.Kama ndivyo hujuwi lolote, unamtuhumu kufanya kosa kwa msingi upi iwapo hata katiba hujuwi ninini
Unareference yoyote au kifungu cha sheria kuonesha uhalifu wa huyo mtanzania?Umeambiwa usiandamane,ukakaidi,hayo ndiyo malipo. Na hapo huo mguu ulitakiwa kukanyaga koromeo. Japo hapo inaonekana kijana kalalia mguu ila mmeshadadia kanakwamba kakanyagwa.
Wewe toa sababu za yeye kua hapo alipo.Unareference yoyote au kifungu cha sheria kuonesha uhalifu wa huyo mtanzania?
Unareference yoyote au kifungu cha sheria kuonesha uhalifu wa huyo mtanzania?Wewe toa sababu za yeye kua hapo alipo.
Ukinipa sababu za kuwa hapo alipo,utakua umejijibu mwenyewe swali lako.Unareference yoyote au kifungu cha sheria kuonesha uhalifu wa huyo mtanzania?
Sasa kama hayajitaji ruhusa nenda kaandamane aachiwe basi.Maandamano hayahitaji ruhusa acha ujuha na kujitia ujuaji wewe mburula. Duh sorry Leo ni Sabato kumbe
Mbona sijaona alipokanyagwa?Embu fikilia ndio mwanao anakanyagwa hvyo daaah
Ukinipa sababu za kuwa hapo alipo,utakua umejijibu mwenyewe swali lako.
So,fikiri tena.
Alipaa tu akajikuta ka angukia pale?
Alifuatwa na polisi nyumbani kwao?
Aliomba lifti?
Alikua kituoni?
Alikua anaumwa ndo anapewa huduma ya kwanza?
Ukipata majibu kata kiu na pespsi.
Wewe unareference yoyote au kifungu kinachompa uhalali wa kuandamana au unaleta upepo tu kwa kuwa unabando?Unareference yoyote au kifungu cha sheria kuonesha uhalifu wa huyo mtanzania?
Jinga kabisa. Huyo mzazi wako amepata hasara kukuzaaTena mama ndo alonikanya nisifuate mkumbo. Yaani wewe unaambiwa ingia barabarani na Lisu,yupo Ubelgiji,Lema,yupo Canada,Maria Sarungi yupo sijui wapi.
Then unaingia road,kwanini wasikuue tu kiishe?
Maana kichwani hakuna kitu,ni empty. Yaani unaenda kuwajambisha polisi?
Nisiwepo aisee,mi nacheza na magoti,kifua na kichwa,nakuachia ulemavu wa kudumu,maumivu ya kudumu au nakupa makao mampya. Nukta.
Kosa lake ndiyo sababu ya yeye kua alipo. Hapo huelewi nini.Acha upumbavu wewe haupo kufanya spinning hapa.
Kosa lake nini ...mjinga wewe huelewi swali. Thibitisha kosa lake kisheria
Unareference yoyote au kifungu cha sheria kuonesha uhalifu wa huyo mtanzania?