Polisi wa Tanzania chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan

Hiyo ni roho mbaya yako tu. Watu tumeumbiwa na kutakiwa kusamehe.
Kuhusu huyo bwana,hapo yupo kwenye mikono salama.

Hajakanyagwa kama watu walivyotaka kutuaminisha.
Ukiangalia vizuri mguu wa mwenye truck nyekundu upo chini jamaa kaulalia.
Huyo mwingine mguu kakanya spear tairi.
Na hiyo picha naitafuta full nitaituma hapa,uone ni jinsi gani watu wanalipuka bila kuelewa. Wengine mapo ya kuchamua picha ni taaluma zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama hajakanyagwa, kinachosikitisha ni kuwa udhalilishaji huo anafanyiwa na Polisi ambaye ni Mtanzania mwenzie na wala sio Gestapo!
 
Tutabakia hivyo hivyo, mkikosa haki zenu za msingi mnakuja nyuma ya keyboard mnapiga makelele, mkiambiwa twendeni oo walitumwa kuandamana, kwakweli hatujitambui.
Ondoa stress zako hapa bana. We anamana peke yako,kwani mpaka utuburute na sisi?
 
Ondoa stress zako hapa bana. We anamana peke yako,kwani mpaka utuburute na sisi?
Mimi na stress gani ndugu? nachokisema nafikiri hujanielewa mimi nawashangaa watanzania wanao kaa nyuma badala ya kukubali kujitokeza kama wewe unavyomlaumu huyo kwanini aliandamana hapo ndipo tunapo feli nakubakia kushangilia ya wenzetu.
 
Nimekusoma now kwa nguvu ya 5.
 
Yaani kudadeki nikikukuta ktk anga zangu nitakufanyia kitu mbaya sana hutaamini.Usione Wananchi wakimwona Askari kapata ajari hawamsaidii,wanamwacha afe ni kwasababu ya upuuzi huu.
 
Baada ya kutenda hayo,unafaidika nini?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mm nngekuwa polisi yana hawa waandamanaji uchwara wangekoma mana kila siku Wakija wanakutana na style mpya ya kipigo
 
Yaani kudadeki nikikukuta ktk anga zangu nitakufanyia kitu mbaya sana hutaamini.Usione Wananchi wakimwona Askari kapata ajari hawamsaidii,wanamwacha afe ni kwasababu ya upuuzi huu.
Acha mikwara kwa mtu mzima ww
 
Babu swala pale syo mambo ya kuandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…