African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Kwenye uislam kufunga ni lazima kwa mtu aliye balehe. Labda uwe na sababu za msingi ambazo uislam umezitaja. Mfano kuwa kwenye hedhi, kuumwa, nk.Sijakuelewa.
Maana hakuna sheria katika uislam inayoruhusu kwa wanachofanya Zanzibar.
Labda sijakuelewa unaulizia sheria ipi.
Kufunga ni kwa mtu mwenyewe wengine hawahusishwi hata wawe wanakula hadharani.
Japo kibusara si vizuri kula hadharani kipindi hiki,ila hakuna sheria iliyowekwa ya kumhukumu mtu akila hadharani.
[Enyi mlioamini! Mmelazimishwa kufunga (Saumu) kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu] [Al-Baqarah –Aya 183].
Kuhusu walichokifanya hao askari ni kinaweza kuwa sio sahihi na kinaweza kuwa ni sahihi pia sababu serikali ilishatangaza hakuna kula hadharani, wewe kwanini upingane na katazo la serikali?