Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Unakula saa 1 usiku, saa 5 usiku unakula na saa 10 unakula tena.
Akila hadharani anakutamanisha tena. Tatizo huwa mnafunga kula na siyo kuacha dhambi. Umefunga na bado unapenda ugomvi
We sinaga cha kukujibu.
Maana huongea kwa mihemko na sio hoja yakinifu,pita pembeni.
 
Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe

Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?

ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?

Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili

Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?

Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.

Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!

Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..

Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.

Binafsi yangu nimeishi kwenye jamii nyingine ambazo ni za imani tofauti na mimi au tamaduni tofauti ila nilifanikiwa pakubwa kuishi nao kwasababu niliishi kwa kutii taratibu zao na mambo yalienda vizuri tu.
Kama inakuudhi mtu kula hadharani kwanini unakaa huku ukimuangalia na kumuonea wivu? Kama inakuuma mtu kula hadharani, basi jiue tu, siyo kuja na sheria za kijinga ambazo hata nchi haitambui.
 
Dini ya Wanafiki hiyo. Mungu asiyeweza kujitetea mwenyewe mpaka watu washike viboko huyo hastahili kuwa Mungu.

Funga ya kweli mtu aridhie kutoka katika moyo wake na siyo kulazimisha watu. Mungu hajawahi kuwa hivi.
 
ninachoshangaa, unasema kula mwezi wa ramadhani ni ushetani, bila kujua kuwa uislam wenyewe ni ushetani. au tukufafanulie zaidi huo ushetani? utakuwa tayari kupata za uso?
Shetani ni wewe,unayejifanya u nawajua mashetani.Kuna msemo unasema,mwizi kila mtu humfikria ni mwizi,kama slivyo yeye ni mwizi.
 
hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.
Nyinyi mnaokula saa kama mchwa alfajiri ndio mnafunga au mnabadili ratiba za kula?
Maana usiku kucha mnakula kama mchwa.
 
Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe

Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?

ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?

Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili

Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?

Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.

Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!

Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..

Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.

Binafsi yangu nimeishi kwenye jamii nyingine ambazo ni za imani tofauti na mimi au tamaduni tofauti ila nilifanikiwa pakubwa kuishi nao kwasababu niliishi kwa kutii taratibu zao na mambo yalienda vizuri tu.
Uwe unatuliza kichwa na kutumia akili.
 
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
🤣🤣🤣🤣 acheni uroho, kama kumuona mtu anakula tu anakuharibia funga (tamaa ), Sasa ukiona Paja ya pis kali si utaenda kula nyeto kabisa.
Tatizo mnafunga kufuata mkumbo kama nyumbu, hamjui kwanini mnafunga. Mnashindana kukaa njaa ili mje mle usiku mzima🚮🗑
 
Sidhani kama mtume aliwatuma kushambulia watu physically kama ndio njia ya kupambana na shetani, hiyo ni aina tu ya social terrorism.

Why utandike bakora mtu mzima tena kwa issue ndogo kama kula hadharani.

Nadhani busara ni kuongea nae kwa kumuelekeza na kumuomyesha sehemu sahihi ya kula chakula chake.

Halafu jambo lingine kula hakuna uhusiano wowote na kuharibu swaumu ya mtu.

Wewe umefunga unawaza nini kichwani kwako hadi uwe distracted na mtu anayekula chakula chake na hajakulisha wala hakukuita ule?

Wewe komaa na funga yako tena fanya busara ya kukaa ndani kama ukitoka nje unaharibiwa funga yako na watu wanaokula hawajafunga.
Point 👍
 
sidhani kama tunatakiwa kuwalaumu sana,kwasababu ndivyo dini yao inavyosema, ni dini ya kikatili, isiyo ya amani, na nawaasa wakristo na wengine wasio waislam kuikimbia hii dini kuliko chochote. matendo yao yanadhihirisha ni aina ipi ya mungu wanamwabudu. huu ndio ukweli mchungu kwao.
 
Zanzibar sio nchi ya kidini, kwa kutambua hilo mtu yoyote ambaye anaimani tofauti yako aheshimiwe kikubwa tu asiwe amevunja sheria za nchi.
 
sidhani kama tunatakiwa kuwalaumu sana,kwasababu ndivyo dini yao inavyosema, ni dini ya kikatili, isiyo ya amani, na nawaasa wakristo na wengine wasio waislam kuikimbia hii dini kuliko chochote. matendo yao yanadhihirisha ni aina ipi ya mungu wanamwabudu. huu ndio ukweli mchungu kwao.
Mkuu ulisema utaleta ushetani wa uislam.
NIkakuambia ulete haukuleta.
Sasahivi unaropoka upumbavu mwingine,lete ushahidi kama uislam dini ya kikatili.
Kama we mwanaume kweli lete huo ushahidi hapa,laa sivyo niko radhi nikutusi kama unavyotusi dini ya uislam
.
NASUBIRI MAJIBU
 
Sasa unasubiri nini huko uliko?
Katika uislam haujaweka hiyo sheria.
Hivyo siwezi kuiacha dini ya kiislam inayohimiza kuishi vizuri na majirani wa pande zote kisa sheria ya kijinga ya Mzanzibari.
Uislam uko sawa hauna shida ila baadhi ya waislam hujitungia sheria nje ya uislam.
 
Mkuu ulisema utaleta ushetani wa uislam.
NIkakuambia ulete haukuleta.
Sasahivi unaropoka upumbavu mwingine,lete ushahidi kama uislam dini ya kikatili.
Kama we mwanaume kweli lete huo ushahidi hapa,laa sivyo niko radhi nikutusi kama unavyotusi dini ya uislam
.
NASUBIRI MAJIBU
nilishakujibu, labda kama hukufuatilia tena. nitarudia tena kwa machache. Naomba ujibu kifungu kimoja baada ya kingine, usikimbie. TAFADHALI, JIBU MOJA BAADA YA JINGINE, TENA KWA NAMBA.

1. Ninaamini, uislam kuamrisha kuua wakristo na wayahudi/wasio waislam, ni ushetani. (unasemaje hapa, jibu).

2. Jihad ni ya shetani tu, hatetewi, ana nguvu hahitaji mwanadamu amtetee, ukiona unatetea unayemwita mungu jua hiyo ni njia ya shetani. (unasemaje hapa, jibu).

3. Mungu ni mtakatifu, hachangamani na masheteni. Majini ni mashetani.Uislam unaamini kuna majini mazuri na mabaya, mazuri yanaweza kukusaidia, meaning, mashetani yanaweza kukusaidia na bado ukasema unamwabudu mungu. pia, majini huwa yanamwabudu mungu wenu. sasa, kama mnashirikiana na mashetani namna hii na kama mungu wenu anaabudiwa na majini, naamini huyo ni shetani, manake majini na wachawi naw aganga wa kienyeji ndio wanamwabudu shetani (unasemaje hapa, jibu).

4. Mood alioa kitoto kidogo sana, miaka 6 akazini nacho miaka 9. na amehubiri ngono sana kwenye kitabu chake, naamini kuoa au kuonyesha korodani zako kwa kitoto cha miaka hiyo, ni ushetani tu. (unasemaje, jibu).

5. Mungu wa kweli ameahidi uzima wa milele tutakuwa kama malaika tukimwabudu na kumsifu, ila mungu wa dini ya kiislam ameahidi mabikira 72 utakayofanya nayo ngono bila bikra hizo kuondoka (hata baada ya kuzitoa, kufanya ngono na kuejuculate bado ati kutakuwa na bikra bado), mungu anayeahidi ngono naamini ni shetani wa uzinzi tu. (unasemaje,jibu).

6. dini inayokosa uvumilivu, mnapofunga mnalazimisha na wengine wafunge, wasiofunga mnawachapa viboko kama mnavyofanya zanzibar, ni dini ya fujo, na ushetani tu. (unasemaje, jibuhapo).

7. mungu anayeabudiwa na ISIS, AL QAEDA, BOKO HARAM, AL SHABAB n.k, ni mungu shetani tu, sio Mungu wa kweli. (unasemaje, jibu).

8. kwenye uislam, unaruhusiwa kumchapa viboko mke wako, badala ya kumpenda, naamini kumchapa viboko mkeo ni ushetani,(unasemaje, jibu).

9. huwezi kuwa shehe bila kufuga majini, unalielewa hili hata ukibisha, ndio maana wengi wanauza pia dawa za suna ambazo ni uganga wa kienyeji/upagani, naamini huu ni ushetani, (unasemaje, jibu).

nisimame hapa, vingine nitakuletea kama utajibu hayo.
 
1)Unaamini ila ushahidi huna,unaelewa maana ya ushahidi??
Lete andiko linalosema kuwa uislam umeamrisha kuua wasio waislam ikiwemo wakristu.
Maana enzi za mtume kulikua na makanisa pia Mjomba wake Bi.Khadija alikua naswara(mkristu)atumiaye injili na wapo wengine kadha wa kadha na hawakuuliwa.
LETE USHAHIDI KUWA UISLAM UMEAMRISHA KUUA WASIO WAISLAM.
USILETE MANENO MATUPU,LETE KIFUNGU CHA MAANDIKO HAPA.
2)Haufahamu maana ya jihadi,jihadi maana yake jitihada.Jitihada kuitetea dini sio kumtwtea Mungu bali kuitetea dini kihali na mali.Hata kujenga msikiti ni jihadi,hata kununua vitabu vya dini watu wasome ni jihadi hata swadaka ni jihadi,jihadi ya kupigana iliamrishwa pale polutheist wa Makkah walipokua wakiwaonea waislam licha ya kuwa wamehama kwenda Madina.Kama uislam ulikua dini ya fujo basi Mungu angeamrisha wawapige polytheist kule kule Makkah ambako walikua waislam wakiteswa na kuzuiwa kufanya ibada.
Kama unashindwa kutetea imani yako hivi utakua una imani yakinifu kweli??
3)Inaonesha Mungu wenu anabagua viumbe,jini kamuumba nani kama sio Mungu??Inamaana unataka kusema jini kimeumbwa na kiumbe kingine tofauti??Kwa imani yetu mazuri na mabaya yanatoka kwa Mungu.Ndio maana tunasema Mungu ana kudura mbili ya kheri kama neema na ya shari kama mitihani ya kutupima imani.
Jini ni kiumbe kilichoumbwa na moto,shetani sio kiumbe ni sifa chafu ambayo huivaa kiumbe yeyote.Hata wewe unaweza kuwa shetani kwa tabia zako.
Hivyo shetani sio jini bali shetani ni sifa ya uovu anayovaa eidha jini au binadamu.Na licha ya kuwa wapo majini wazuri DINI IMETUKATAZA KUCHANGAMANA NAO MAANA NI VIUMBE TOFAUTI NA SISI.
4)Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.Na hakumuingilia mpaka balehe yake ilipotimia.
Huu ushahidi wa kusema alimuingilia akiwa na miaka 9 unao??
Embu lete huo ushahidi.
Lete pia ushahidi wa kimaandiko kutoka kitabu chetu kinachohimiza uzinifu.
Usiongeee unaamini lete ushahidi hiyo imani umeitoa wapi??
Lete ushahidi.
5)Allah kapiga marufuku uzinifu na kulewa starehe ya wanawake.
Na ametaja uzinifu kama miongoni mwa madhambi makubwa katika uislam.Sheria ni zake kila kitu kaumba yeye akitaka kitu anasema kuwa kinakua.Kuhusu hao mabikira ndio Mungu kaahidi kama zawadi kwa ATAKAYEJITUNZA NA DHAMBI YA UZINIFU MPAKA KUFA KWAKE.Nyie si mnataka wanawake?Basi muahuduni na muache uzinifu atawapa wanawake wazuri huko peponi kuliko hawa mnaowapapatikia.
Dini yetu imenyooka kizuri na kibaya vyote kaumba Mungu kwa minajili yake.
6)Una kichwa kigumu sana.Hili suala kule juu nilielezea kuwa uislam haujaweka sheria ya kumlazimisha mtu afunge kwa dini tofauti,na haujaweka sheria kuwa mtu akila hadharani achapwe hata kama akiwa muislam ndio kala hadharani.
Maana Mungu asema"funga ni yangu na malipo ni yangu ya hiyo funga".
Hivyo huko Zanzibar wametunga sheria kwa matakwa yao ila dini haijaruhusu hilo na hakuna hii sheria katika uislam.
Au hukuelewa kule juu nlivyokueleza??
7)Unaonesha huna exposure kabisa.ISIS,BOKOHARAM,ALQAEDA,ALSHABAB sio makundi ya kidini ya kiislam.
Bali ni makundi ya kipropaganda yanayotumia mlengwa wa dini kutimiza matakwa yao ya kisiasa kwa kuwapotosha vijana hasa kwa maandiko na pesa.
Na unapozungumzia hayo makundi haswa ISIS lazima USA uizungumzie.
Huko ni masuala ya kisiasa za dunia haihusiani na dini huko wewe mweupe yaonekana unasikiliza sana stori za vijiweni.
8)Qur'an imekataza ukatili kwa mwanamke wa aina yeyote ile ikiwemo kumpiga mwanamke.
Mfano kaitafute surah ya 58 katika Qur'an inayoitwa Pleading woman.
Ikizungumzia jinsi Mungu alivyotoa hukumu kali kwa mwanaume atakaemtusi mkewe kwa kumuona ameisha ama hafai(hana mvuto).
Lete ushahidi kuwa uislam umeruhusu kumchapa mwanamke.
SHIDA WEWE UMELETA MALALAMIKO ULIYOSIKIA KWA WATU,HUJALETA USHAHIDI KUWA HAYA MAMBO YAMEANDIKWA WAPI.
Lete ushahidi wa kimaandiko katika hili.
9)Unachanganya madesa,kwanza ni haramu muislam kujihusisha na majini na Allah kakataza.
MAana kushirikiana na majini inaingia katika aina ya dhambi ya ushirikina na ushirikina kosa kubwa katika uislam.
Labda ulete ushahidi kifungu gani cha sheria katika uislam kinasema ili uwe shehe lazima ufuge majini.
Dawa za kisunna maana yake ni dawa za tiba ambazo mtume aliwahi kutumia na zikafaa.
Asilimia mia ni dawa za mitishamba ambazo hutibu maradhi ya kawaida pia hutibu hata maradhi ya kishirikina.
Je hapo kuna tatizo lipi?
Hayo mafuta ya upako mnayotumia ni moja ya dawa za kisunna na yale ni mafuta ya misk na zaituni.
Je na ninyi mnafuga majini??

NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.
MENGI ULOLETA NI STORI ULIZOSIKIA ILA HAUNA USHAHIDI NA HAUJALETA USHAHIDI WA KIMAANDIKO.
REFERENCE YA UISLAM NI QUR'AN NA HADITHI SASA LETE HADITHI AU QUR'AN ULIOSIKIA AMA KUONA INARUHUSU HAYA UNAYODAI.
LETE USHAHIDI SIO MADAI MATUPU.

NAKUSUBIRI ANDIKA UTUMBO MWINGINE.
 
We sinaga cha kukujibu.
Maana huongea kwa mihemko na sio hoja yakinifu,pita pembeni.
Kwa kuwa dini yenu ya uislamu haina hoja na ina waumini wenye mihemko unafikiri na mimi niko hivyo? Kufunga kwako inanihusu nini mimi kama umetumia mihemko? Kuna dini za kijinga duniani kama uislamu.
Ukiacha uislamu ukahamia dini nyingine adhabu yake ni kukatwa kichwa
 
Back
Top Bottom