nilishakujibu, labda kama hukufuatilia tena. nitarudia tena kwa machache. Naomba ujibu kifungu kimoja baada ya kingine, usikimbie. TAFADHALI, JIBU MOJA BAADA YA JINGINE, TENA KWA NAMBA.
1. Ninaamini, uislam kuamrisha kuua wakristo na wayahudi/wasio waislam, ni ushetani. (unasemaje hapa, jibu).
2. Jihad ni ya shetani tu, hatetewi, ana nguvu hahitaji mwanadamu amtetee, ukiona unatetea unayemwita mungu jua hiyo ni njia ya shetani. (unasemaje hapa, jibu).
3. Mungu ni mtakatifu, hachangamani na masheteni. Majini ni mashetani.Uislam unaamini kuna majini mazuri na mabaya, mazuri yanaweza kukusaidia, meaning, mashetani yanaweza kukusaidia na bado ukasema unamwabudu mungu. pia, majini huwa yanamwabudu mungu wenu. sasa, kama mnashirikiana na mashetani namna hii na kama mungu wenu anaabudiwa na majini, naamini huyo ni shetani, manake majini na wachawi naw aganga wa kienyeji ndio wanamwabudu shetani (unasemaje hapa, jibu).
4. Mood alioa kitoto kidogo sana, miaka 6 akazini nacho miaka 9. na amehubiri ngono sana kwenye kitabu chake, naamini kuoa au kuonyesha korodani zako kwa kitoto cha miaka hiyo, ni ushetani tu. (unasemaje, jibu).
5. Mungu wa kweli ameahidi uzima wa milele tutakuwa kama malaika tukimwabudu na kumsifu, ila mungu wa dini ya kiislam ameahidi mabikira 72 utakayofanya nayo ngono bila bikra hizo kuondoka (hata baada ya kuzitoa, kufanya ngono na kuejuculate bado ati kutakuwa na bikra bado), mungu anayeahidi ngono naamini ni shetani wa uzinzi tu. (unasemaje,jibu).
6. dini inayokosa uvumilivu, mnapofunga mnalazimisha na wengine wafunge, wasiofunga mnawachapa viboko kama mnavyofanya zanzibar, ni dini ya fujo, na ushetani tu. (unasemaje, jibuhapo).
7. mungu anayeabudiwa na ISIS, AL QAEDA, BOKO HARAM, AL SHABAB n.k, ni mungu shetani tu, sio Mungu wa kweli. (unasemaje, jibu).
8. kwenye uislam, unaruhusiwa kumchapa viboko mke wako, badala ya kumpenda, naamini kumchapa viboko mkeo ni ushetani,(unasemaje, jibu).
9. huwezi kuwa shehe bila kufuga majini, unalielewa hili hata ukibisha, ndio maana wengi wanauza pia dawa za suna ambazo ni uganga wa kienyeji/upagani, naamini huu ni ushetani, (unasemaje, jibu).
nisimame hapa, vingine nitakuletea kama utajibu hayo.
1)Unaamini ila ushahidi huna,unaelewa maana ya ushahidi??
Lete andiko linalosema kuwa uislam umeamrisha kuua wasio waislam ikiwemo wakristu.
Maana enzi za mtume kulikua na makanisa pia Mjomba wake Bi.Khadija alikua naswara(mkristu)atumiaye injili na wapo wengine kadha wa kadha na hawakuuliwa.
LETE USHAHIDI KUWA UISLAM UMEAMRISHA KUUA WASIO WAISLAM.
USILETE MANENO MATUPU,LETE KIFUNGU CHA MAANDIKO HAPA.
2)Haufahamu maana ya jihadi,jihadi maana yake jitihada.Jitihada kuitetea dini sio kumtwtea Mungu bali kuitetea dini kihali na mali.Hata kujenga msikiti ni jihadi,hata kununua vitabu vya dini watu wasome ni jihadi hata swadaka ni jihadi,jihadi ya kupigana iliamrishwa pale polutheist wa Makkah walipokua wakiwaonea waislam licha ya kuwa wamehama kwenda Madina.Kama uislam ulikua dini ya fujo basi Mungu angeamrisha wawapige polytheist kule kule Makkah ambako walikua waislam wakiteswa na kuzuiwa kufanya ibada.
Kama unashindwa kutetea imani yako hivi utakua una imani yakinifu kweli??
3)Inaonesha Mungu wenu anabagua viumbe,jini kamuumba nani kama sio Mungu??Inamaana unataka kusema jini kimeumbwa na kiumbe kingine tofauti??Kwa imani yetu mazuri na mabaya yanatoka kwa Mungu.Ndio maana tunasema Mungu ana kudura mbili ya kheri kama neema na ya shari kama mitihani ya kutupima imani.
Jini ni kiumbe kilichoumbwa na moto,shetani sio kiumbe ni sifa chafu ambayo huivaa kiumbe yeyote.Hata wewe unaweza kuwa shetani kwa tabia zako.
Hivyo shetani sio jini bali shetani ni sifa ya uovu anayovaa eidha jini au binadamu.Na licha ya kuwa wapo majini wazuri DINI IMETUKATAZA KUCHANGAMANA NAO MAANA NI VIUMBE TOFAUTI NA SISI.
4)Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.Na hakumuingilia mpaka balehe yake ilipotimia.
Huu ushahidi wa kusema alimuingilia akiwa na miaka 9 unao??
Embu lete huo ushahidi.
Lete pia ushahidi wa kimaandiko kutoka kitabu chetu kinachohimiza uzinifu.
Usiongeee unaamini lete ushahidi hiyo imani umeitoa wapi??
Lete ushahidi.
5)Allah kapiga marufuku uzinifu na kulewa starehe ya wanawake.
Na ametaja uzinifu kama miongoni mwa madhambi makubwa katika uislam.Sheria ni zake kila kitu kaumba yeye akitaka kitu anasema kuwa kinakua.Kuhusu hao mabikira ndio Mungu kaahidi kama zawadi kwa ATAKAYEJITUNZA NA DHAMBI YA UZINIFU MPAKA KUFA KWAKE.Nyie si mnataka wanawake?Basi muahuduni na muache uzinifu atawapa wanawake wazuri huko peponi kuliko hawa mnaowapapatikia.
Dini yetu imenyooka kizuri na kibaya vyote kaumba Mungu kwa minajili yake.
6)Una kichwa kigumu sana.Hili suala kule juu nilielezea kuwa uislam haujaweka sheria ya kumlazimisha mtu afunge kwa dini tofauti,na haujaweka sheria kuwa mtu akila hadharani achapwe hata kama akiwa muislam ndio kala hadharani.
Maana Mungu asema"funga ni yangu na malipo ni yangu ya hiyo funga".
Hivyo huko Zanzibar wametunga sheria kwa matakwa yao ila dini haijaruhusu hilo na hakuna hii sheria katika uislam.
Au hukuelewa kule juu nlivyokueleza??
7)Unaonesha huna exposure kabisa.ISIS,BOKOHARAM,ALQAEDA,ALSHABAB sio makundi ya kidini ya kiislam.
Bali ni makundi ya kipropaganda yanayotumia mlengwa wa dini kutimiza matakwa yao ya kisiasa kwa kuwapotosha vijana hasa kwa maandiko na pesa.
Na unapozungumzia hayo makundi haswa ISIS lazima USA uizungumzie.
Huko ni masuala ya kisiasa za dunia haihusiani na dini huko wewe mweupe yaonekana unasikiliza sana stori za vijiweni.
8)Qur'an imekataza ukatili kwa mwanamke wa aina yeyote ile ikiwemo kumpiga mwanamke.
Mfano kaitafute surah ya 58 katika Qur'an inayoitwa Pleading woman.
Ikizungumzia jinsi Mungu alivyotoa hukumu kali kwa mwanaume atakaemtusi mkewe kwa kumuona ameisha ama hafai(hana mvuto).
Lete ushahidi kuwa uislam umeruhusu kumchapa mwanamke.
SHIDA WEWE UMELETA MALALAMIKO ULIYOSIKIA KWA WATU,HUJALETA USHAHIDI KUWA HAYA MAMBO YAMEANDIKWA WAPI.
Lete ushahidi wa kimaandiko katika hili.
9)Unachanganya madesa,kwanza ni haramu muislam kujihusisha na majini na Allah kakataza.
MAana kushirikiana na majini inaingia katika aina ya dhambi ya ushirikina na ushirikina kosa kubwa katika uislam.
Labda ulete ushahidi kifungu gani cha sheria katika uislam kinasema ili uwe shehe lazima ufuge majini.
Dawa za kisunna maana yake ni dawa za tiba ambazo mtume aliwahi kutumia na zikafaa.
Asilimia mia ni dawa za mitishamba ambazo hutibu maradhi ya kawaida pia hutibu hata maradhi ya kishirikina.
Je hapo kuna tatizo lipi?
Hayo mafuta ya upako mnayotumia ni moja ya dawa za kisunna na yale ni mafuta ya misk na zaituni.
Je na ninyi mnafuga majini??
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.
MENGI ULOLETA NI STORI ULIZOSIKIA ILA HAUNA USHAHIDI NA HAUJALETA USHAHIDI WA KIMAANDIKO.
REFERENCE YA UISLAM NI QUR'AN NA HADITHI SASA LETE HADITHI AU QUR'AN ULIOSIKIA AMA KUONA INARUHUSU HAYA UNAYODAI.
LETE USHAHIDI SIO MADAI MATUPU.
NAKUSUBIRI ANDIKA UTUMBO MWINGINE.